Recent content by atieno

  1. A

    Wanawake live ni kama midahalo ya kidin ilivyo kuwa inaendeshwa na viongozi wa kidin

    kipindi cha Joyce hakina ubaya wowote, mwanamke atakayedanganywa na mafunzo hasi juu ya ndoa atakuwa ameamua mwenyewe, kutokana na historia ya mwendesha kipindi inaweza kuwahamaisha wasichana wenye status kama ya aliyokuwa nayo mwendesha kipindi kuwa ulipoogea sio lazima ukaukie,,, kuna...
  2. A

    Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

    nimependa stori, imenikumbusha na stori nyingine uliweka hapa ya dada tabata akakuachia HIV, pia ile ya dada anasomea udaktari muhimbili, ulikutana naye kwenye party Mentor bwana,,, any way zinaonya
  3. A

    Anti Suzy: Haya ndiyo machungu ya ushoga

    mhhhh!!!!!!!!!!!!!!!! so sad
  4. A

    kila mtu kwa kabila lake!!!

    oyaoree, wach mochiew? dala uru nade?
  5. A

    Napenda sana wa sampuli hii,wewe je??

    acha roho mbaya na choyo, kula na wenzioooo
  6. A

    Huu ndio ujanja wanaotumia mapedeshee kuchukua warembo kwa ulaini, madada wa Bongo kuweni macho

    pole sana, yaliyomo yamo, kumtafutia kazi sio kigezo cha yeye kuwa mkeo inaonekana alikuwa hakupendi tu, MOS
  7. A

    2013 Acha Ushamba Ushamba Wako!!!!! Take Control !!!!!!!!!!!!

    huwa sichangii nasoma na kupita tu, but leo umenifurahisha lara 1 happy new year, hakika furaha yako unayo mwenyewe
  8. A

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    nyie hamna shule na hospitali? mnachelewa nini kuita serikali na wafadhili wawezeshe na muingie nao mkataba wa kutoa huduma, ili na nyinyi muwe na mfumo- islamu? ukweli mnao, mnaendekeza mambo yasiyo na tija huku mkijua udhaifu wenu. msiwafanye wengine kuwa madaraja ya kufikia mafanikio yenu...
  9. A

    Maaskofu Tanzania watoa Tamko, wakemea udini, ukanda na ukabila!

    tuwe wavumilivu na wenye busara, ndugu zangu waislam kuna chuki mnajipandikizia mioyoni mwenu lakini hauna manufaa. ukweli uko wazi, kuwa mlichelewa kupata elimu, tumieni nafasi ya sasa kusoma zaidi na mjenge taasisi zenu. ccm na utawala wake umeshawaona mtaji, na unawatumia nyinyi kisiasa...
  10. A

    Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

    mulugo anajua ukweli hawezi kujitokeza hadharani kwa kuogopa kumwaga unga, niliwahi kuona alivyocoment living certificate za wanafunzi wa form four wa southern high land sec school 2002, akiwa kama headmaster comment ilisomeka hivi 'she is complitelly form four' mwenye living za southern 2002...
  11. A

    WAJALUO kulala na wakweze, kwanini? siri yake ni nini jamani?

    ndugu usishikie bango jambo usilolijua, ama la kuambiwa. nije kwenye mada yako. mimi ni nyar Luo nimezaliwa, nimekulia, ujaluoni. naomba niwatoe wasiwasi wanajamvi kuwa huu uzi kuhusu joluo kulala na wakwe zao sio mila na tamaduni ya jolwo. jolwo wametawaliwa na miiko kadhaa na moja wapo ni hili...
  12. A

    Waziri Wassira: Sina tuhuma za ufisadi

    umesahau cv yake ya kuhamia upinzani kipindi flani, na kufulia mpaka the beautiful one alipomkumbuka juzi kati au alikuambia usifunguke kuhusu hilo? any way hongera kwa kumpigia debe ingawa kauli zake ni chapwa
  13. A

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    R.I.P jina la bwana libarikiwe amen
  14. A

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    ana tofauti gani na jeshi hilo mkuu hadi alivunje? si wanafanana hao jamaa ama!
  15. A

    CCM; Ochele Obuto hafai kuwa mbunge wa Rorya

    ni kweli hana elimu yoyoyote, pili nikupe angalizo, Airo hana undugu wowote na Sarungi, isipokuwa kwao ni kumoja (utegi) huyo Ochele ni mfuasi wa Airo kwa vile wote wana mbinu Chafu za kuwin maisha. kuhusu Airo kugombe tena, alishajinaka hadharani kuwa hatagombea. so wanarorya nipeni kura miyee...
Back
Top Bottom