Alalalalalalalal hii ikilala usingizi usiseme! Kila likigeuza linaachia hewa chafu utaskia tsuiiiiiii
safi sana THE BIG SHOW hii ni saizi yako kulingana na mwili wako. BTW mimi ni fan wako lol
eeeh kweli kila mtu na taste yake.....
charminglady.....lolHaya na wewe test yako ni ipi??
vi-portable for me
[![]()
Mkuu kwa sampuli hii nakuunga mkono tena ikimbua mbomba zaidi, mwanamke lazima awe easy kumanupulate eti unless your only for missionary style
charminglady.....lol
ugojwa mmoja na mimi huo, mkuu umeamua kuja kutuliza huku mambo ya gas?
charminglady.....lol
Hahaahahahaaaaaa unaifahamu type ya charminglady?????
Mweupe flani hivi....mwili unatosha kabisa...haujazidi wala kupungua....urefu watosha kabisaaaaaaaa
what else?.
netwek iasoma zero bar.....loadin.....vi-portable for me
![]()
hahaahahhaaaa..... umechemkaaaaaaaa! kwa vile umeigilizia hapo kwenye picha lolest!!!!!!!!!