Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Waziri Mulugo aumbuliwa na Sugu

Vihiyo wa kununua majina ni wengi ....tena wana roho Mbaya ,hawawakumbuki waliowapa majina ambao wanachunga mbuzi.......,Dr kigwagwala ,na sasa Amim Augustino ......au phillipo mulugo...
Kule morogoro kuna Mustapha Mkullo (mmalawi)...aliyekuja na baba yake kashikwa mkono..wakati baba yake alipokuja Kuomba kazi mashambani Moro...wazeee wa Kiluguru wameshamuumbua Kama wale wa Arusha walivyomuumbuaga Kinana....Juzi Mkullo katangaza 2015 Hatagombea tena Ubunge....
 
Hii nimeipenda mkuu naomba Tu Mulugo Ajiuzuru kwa sababu ya utata wa elimu yake.
Nadhan kabla hajafikia uamuzi wa kujiudhuru, anapaswa apewe haki ya kujitetea au kuuelewesha umma ili kuweka kumbukumbu viziri. Hii ni ishu nzito kiasi kwamba ilitakiwa Waziri aje atabanaishe kwenye Press Conference, haikutakiwa kuishia kienyejienyeji tu kwa waziri kutuma SMS. Kuna hoja nzito imekuwa raised hapo na Mbunge ambaye kimsing ni mwakilishi wa wananchi wa mbeya.

waziri ilipaswa aje na majibu yaliyoshiba, kuna mazingira ya kucommit criminal case hapo. Aje atuweke wazi ili tujue nani muongo baina yao. Is ti Sugu an Mulugo??After all waziri amesharaise doubt kwa umma wa watanzania kwa performance yake. Nionavyo mm angetumia nafasi hiyo kusafisha hali ya hewa maana hadi sasa dunia nzima via YOUTUBE inajua Mulugo ni mjanjamjanja tu yaani kama alivyoliweka sugu kuwa ana elimu ya kuungaunga ti via speech yake aliyoitoa mnamo tar 5-7/10/2012 huko South Africa. http://www.youtube.com/watch?v=e3BNegmIUKM
 
Mimi nadhani tukiingia kwenye facts, wizara ya elimu haimfai huyu bwana. ukiangalia uwezo wake wa kujenga hoja na upeo wake wa mwono kwa wizara yenye wasomi na taasisi za elimu ya juu kama wizara ya elimu, anapwaya sana. kama ni muhimu katika chama basi apewa kazi nyingine.
 
Mh. Mbilinyi aka Sugu is correct. Nikiwa mwana Mby Sec, tulimpokea kijana akitokea kwao Chunya, akiishi hosteli ground flow nimesahau room number, jina likiwa Amim, na alikuwa ni njemba (yaani nahisi alirudia darasa la saba mara kadhaa). Sasa sijui hili jina la Mulugo lilitokea wapi? sijui alikwamia wapi? Sugu ni kaka wa Amim ki madarasa ingawa ki umri Sugu unaweza kuwa mdogo kwa Mh. Amim.
 
mulugo anajua ukweli hawezi kujitokeza hadharani kwa kuogopa kumwaga unga, niliwahi kuona alivyocoment living certificate za wanafunzi wa form four wa southern high land sec school 2002, akiwa kama headmaster comment ilisomeka hivi 'she is complitelly form four' mwenye living za southern 2002 atubandikie hapa. alikuwa akijulikana kama mulungu sasa hili la mulugo sijui ni jina la ubatizo la unaibu waziri
 
jk kazidi sasa kuteua watu magumashi

Mkuu kuna huu uhusiano ambao ni kweli kabisa wala si habari ya kutunga.

JK.....Mulugo......Mary Mwanjelwa

Ni kwamba Mulugo ni kuwadi wa JK kwa Mary Mwanjelwa na malipo ya kazi yake ya ukuwadi ni kupewa huo unaibu waziri vinginevyo hana sifa kabisa na cheo hicho.
 
acheni udwanzi wenu hapa

Hivi kweli inawezekana Huyo akawa Amim aka Njemba, aka repeater aka nilifaulu mwenyewe kijijini ( always ma repeater wa enzi zetu kufaulu la Saba huona deal sana )

Kweli anaweza kuwa yeye anatuita " maduwanzi"?
 
Mkuu kuna huu uhusiano ambao ni kweli kabisa wala si habari ya kutunga.

JK.....Mulugo......Mary Mwanjelwa

Ni kwamba Mulugo ni kuwadi wa JK kwa Mary Mwanjelwa na malipo ya kazi yake ya ukuwadi ni kupewa huo unaibu waziri vinginevyo hana sifa kabisa na cheo hicho.

Mary mwanjelwa aka " Mwizi wa mataulo " .........alishikwa live east African hotel, Arusha
 
Kwa nini bwana Amim usije hapa kujibu yaishe tu.
 
Nimesoma ujumbe wa naibu waziri wa elimu kupitia gazeti la Tanzania Daima. Kuwa atahakikisha anarejesha majimbo yaliyo mikononi mwa CHADEMA kwenda CCM. Swali kwa mulugo Je utafanya nini kuinua kiwango cha alama za ufaulu s/msingi mlizoshusha hadi 70? Yaani wewe la maana na vipaumbele vyako ni majimbo.Pole sana.

Maswali kama hayo badala ya kujibiwa utaambiwa umetumwa mana si utamaduni wa wanasiasa wetu kujibu maswali ambayo ni productive
 
Teh,teh,teh,teh we nawe umeifanya jioni yangu iwe safiiiiii acha nifuate ka wine kangu dukani hilo nalo neno.

Serikali ya kishikaji hii, kuna ambao walikuwa ni makampeni manager wake sasa hivi ni wakuu wa wilaya
 
Back
Top Bottom