Kwanza Charlesi Ochele obutu ana yafutayo anayotuhumiwa na ambayo kiongozi hafai kuwa nayo na kama atakanusha mfuateni mumulize
1.YEYE sio raia wa Tanzania kwa kuwa yeye ni mjaluo wa kenya pamoja kuwa jamaa zake wapo pale roche ratia rorya,mzazi wake ni wa kenya hapo alipo ni kwa baba mdogo aliyekuwa upande wa pili huku tz.
2. shule ya msingi alisomea Ratia hata hivyo hakufaulu kwenda sekondari ,inawa alienda kwa jina la mtu hilo alitumialo na kuishia kidato cha pili,hakumaliza sekondari.
3.Alikuwa jambazi wa kutupwa maeneo ya kitongoji cha maumau hapa rorya kabla ya kujihusisha na biashara haramu ya samaki ziwa victoria.angalia mikono atoe sababu kufikia halihiyo.
4.zipo taarifa za kuendelea kuwepo kwa rb polisi pale musoma ya mada kesi, chunguza
5.Gari atumiayo si halali ya harrier ,haijaripiwa ushuru ilipoingia na inawezekazana ni ya wizi upande wa pili.
6.nyumba ndogo ya hapa musoma ya mtu kamnyanganya.
kwa hayo mafupi pima na chama au vyombo vifanye uchunguzi ka sio kweli basi agombee.
Nipo mimi wazee nna Masters Degree 2 na Bachelor. Kada CCM. NIPO MJINI ILA SIJAOA MJALUO NA SKUL NIMESOMA DAR MDINGI ALIENDA DAR JOB NA KUFIA DAR NA KUZIKWA ROLYA. Na mi nipigieni debe miaka yangu 37 tu.
Taarifa za ndani kutoka katika mtandao wa mbunge Lameck Airo wa jimbo la Rorya zinasema kuwa mbunge huyo ameanza kumwandaa mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rorya Ochelle Obuto ili arithi mikoba ya ubunge 2015.
My take: Ochelle ni mbumbumbu wa kutupwa na pia elimu yake mbovu. Ni mtu mmoja ana kiburi na majivuno ya pesa. Anaiendesha halmashauri kama NGO yake. Kawabana madiwani hawapumui. Anatetea wakuu wa Idara mafisadi ambao anakuwa na manufaa nao katika zabuni mbalimbali, mfano ni mhandisi Julius Kahena ambaye serikali ilimhamisha na kumshusha cheo kwasababu ya ufisadi, mwenyekiti anadaiwa kumtetea tamisemi ili abaki Rorya. Hadi sasa Kahena hajahama!. CCM ikimsimamisha Ochelle 2015 jimbo limekwenda na maji kwani jamaa ni hovyo kabisa.
nyie wasimbiti si mjitokeze tuwape kura? mmezidi mno kujificha shit!
Mwaga cv jamvini siyo kujihibernate kama nguchiro!
Nipo mimi wazee nna Masters Degree 2 na Bachelor. Kada CCM. NIPO MJINI ILA SIJAOA MJALUO NA SKUL NIMESOMA DAR MDINGI ALIENDA DAR JOB NA KUFIA DAR NA KUZIKWA ROLYA. Na mi nipigieni debe miaka yangu 37 tu.
Kwani hata Lameck Airo mbunge wenu wa sasa ana elimu gani, kwa kuwa mlianza vibaya msitegemee kumaliza vizuri.Jimbo la Rorya atakaepatikana mwenye elimu na uelewa hakuna maana siasa za Rorya kwa hawa ndugu zangu zimebaki ni za kurithishana, huyo Lameck Airo ni binamu yake Sarungi aliekuwa mbunge wa Rorya miaka nenda rudi sasa yawezekana hata huyo Ochelle Obuto nae ni mjukuu wa Lameck Airo. Hata hivo huyu mbunge Lameck Airo si agombee tena maana ndo kwanza ametawala awamu moja tu ama anaona biashara zake zinaingiliwa ndo maana anataka kuzama kwenye zile biashara za magendo mpakani Sirali, hivi wewe unafikiri ile La Cairo pale Mwanza angeijengea mawe tu