Jamaa wanyonyaji sana. Wanaamdaa baket ndogo na wanawalipa wasanii pesa isiyoendana na level zao... Na ukikataa kukbaliana na malipo yao ndo bas tena hutaitwa fiesta yyte. Ndo mana wasanii 90% ya wale ambao wanaitambua thaman yao ndo ambao hawapo kwenye izo show.
Mkuu umepotea vibaya aisee.
Kawafukuza watu kwa uhakiki wa vyeti,kaacha pengo kwenye nafasi zao na halijazibwa mpaka leo, Ningeona n mtu wa maana angewatoa alafu akareplace nafasi zao na wenye vyeti. Chaajab n mwaka wa pili hakuna alowekwa mbadala wa wale.
Ikumbukwe hata kama mtu yule hakua na...
Swala haliko kwa madaktari ila liko kwa waliofanya kitendo kile.
Wasiojulkana wamefanya jaribio la mauaji, kumuacha lisu tanzania ilkua inaongeza chance ya wauaji kua karibu na mgonjwa. Na kwa vile muuaji hajulkani anaweza kuwa yeyote kati yawatanzania wenyew au serikali au hata vyombo vya...
hela cha kwanz n ndogo kulinganisha na maisha yenyew ya saiv na kitu kingn mwanachuo n mtu mzma ambae anajua matumiz yake na ratiba zake swala la kumpangia matumz mwanachuo ilo n ujinga maana kila mtu ana namna ya kutumia ela ake..swala la kusema awatunz ata akiba ilo so kwel maana ka hela...
tanzania majesh yake yako bize na kupanga upumbavu mtupu na sio kufanya mambo ya mcng! Cha msing kwao walchokiona n kuanzisha utata kat ya jesh na kamishen ya vyuo vikuu kwa kuwachagua watu ambao wako tayar mafunzon vyuon!!!!!jesh kama hili linapenda migongano na litawezaje kutoa msaada kwa...
nayakmbka saana maneno ya mh mbilinyi(sugu) alisema wanaopewa kuiongoza na kuisimamia elim wao wenyewe elim zao za kuungaunga saana. sasa watawezaje ona mbali watu awa?
kiukwel m naona cha mcng zaid wanafnz tuhmize pia waziri kujiuzuru kwa ujinga anaoruhuxu kfanyka ktk nyanja ake na kuyaacha mpaka saiv ajaongea wala kutoa tamko lolote anadhihirisha udhaif na unyonge katika nyanja na wadhifa wake kiujumla na hivyo basi HATUFAI KATIKA ELIM ENDELEVU
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.