hivi bord ya mikopo inataka wanachuo waandamane kwanza ndio watoe boom?

mumak

JF-Expert Member
Oct 24, 2013
955
500
jamani hii tabia ya bord ya mikopo kukaa kimya bila kutoa taarifa yeyote ile kuhusu boom la wanafunzi wa chuo linaweza sababisha migomo isiyo na msingi kwa vijana wetu walio vyuoni kwani wengi wao hawana uwezo wa kkujikim na pia wanategemea hizo pesa kulipia karo na huduma nyingine za chuo mfano huku morogoro vyuo kama SUA,MUM, hadi leo wanaangaika sasa sijui serikali inalitambua hilo au wanasubili maandamano ndio wapeleke polisi wakatulize fujo?ombi langu kwa serikali na wabunge wajitaidi kuibana hii bord kwani ndio source ya matatizo yanayotokea ktk vyuo vyetu.Ameen
 
kayimukaa

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
356
250
tatizo baadhi ya wanafunzi (wengi wao) wanaendekeza sana starehe. mfano boom likitoka wanatumia kununua subwoofer, laptop, tv sim, nguo na viatu vizur ili ku show off kisha wiki ya tatu au ikizidi wiki ya 4, boom limeisha wakati hilo boom ni la wiki 8. na akiba hata hawaweki kama ikitokea boom likichelewa. ndio maana wengi wenu mnapata shida sasa. hata hivyo polen.
 
msomaji J

Member
May 10, 2014
15
20
pesa zimeliwa na ukawa ambalo halikuwahi kupangiwa hata bajeti,tatizo la watanzania ni wakurukaji wa kuanzisha mambo mfano bunge la katiba kitu ambacho kinawasababishia wengine majanga.Mungu wabariki wanavyuo na tz
 
Mgwadila

Member
Apr 18, 2014
60
0
tatizo baadhi ya wanafunzi (wengi wao) wanaendekeza sana starehe. mfano boom likitoka wanatumia kununua subwoofer, laptop, tv sim, nguo na viatu vizur ili ku show off kisha wiki ya tatu au ikizidi wiki ya 4, boom limeisha wakati hilo boom ni la wiki 8. na akiba hata hawaweki kama ikitokea boom likichelewa. ndio maana wengi wenu mnapata shida sasa. hata hivyo polen.

Kwahyo kununua laptop ni tatzo?kuwa na akili sio tu kuleta mambo ya ajabu hapa,tatzo ni kuchelewa ila sio matumizi,unajua kama limechelewa kwa wiki ya nne mpaka sasa? hyo bajeti unataka ipangweje? INTARAHAMWE MKUBWA WEWE!
 
NAAMINI

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
668

stupid idea....m.....n...du...k...mxiiiiiiiiuuu
 
Auncle Ajay

Member
Jan 26, 2014
35
95
Inaonekana ww ujaelewa mtoa mada vzur au unakchwa cha panz.Tatizo cyo matumz mkuu hapa,issue ni kucheleweshwa kwa fedha za kujkmu za wanavyuo angali wanaumia na wengne kujiingza ktk matendo maov ie wizi,kujiuza,maandamo nk.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
9,727
2,000
Kwahyo kununua laptop ni tatzo?kuwa na akili sio tu kuleta mambo ya ajabu hapa,tatzo ni kuchelewa ila sio matumizi,unajua kama limechelewa kwa wiki ya nne mpaka sasa? hyo bajeti unataka ipangweje? INTARAHAMWE MKUBWA WEWE!
Huku ni kuwatega watoto wa kike,inajulikana wazi ratiba za vyuo,huu uzembe unatakiwa kupigawa kelele hivi sasa,fikiria huyo mwanachuo ni mwanao na sijui kama kweli atasoma huku akiwa na njaa na mawazo ya jinsiya kupata fedha,huku kweli ndio kuwajali wananchi,je huko bungeni mbona wanapata posho kila kukichwa hizo pesa zinatoka wapi au kwa wabunge pesa ipo kwa watoto wetu pesa hakuna.
 
Slaker

JF-Expert Member
May 11, 2012
232
195
tatizo baadhi ya wanafunzi (wengi wao) wanaendekeza sana starehe. mfano boom likitoka wanatumia kununua subwoofer, laptop, tv sim, nguo na viatu vizur ili ku show off kisha wiki ya tatu au ikizidi wiki ya 4, boom limeisha wakati hilo boom ni la wiki 8. na akiba hata hawaweki kama ikitokea boom likichelewa. ndio maana wengi wenu mnapata shida sasa. hata hivyo polen.

non sense.....sasa we we unataka mwanachuo anunuliwe laptop na nan???????
umeishia la nne la mkolon ,,,,nyamaza mkubwa........
 
Mgwadila

Member
Apr 18, 2014
60
0
Huku ni kuwatega watoto wa kike,inajulikana wazi ratiba za vyuo,huu uzembe unatakiwa kupigawa kelele hivi sasa,fikiria huyo mwanachuo ni mwanao na sijui kama kweli atasoma huku akiwa na njaa na mawazo ya jinsiya kupata fedha,huku kweli ndio kuwajali wananchi,je huko bungeni mbona wanapata posho kila kukichwa hizo pesa zinatoka wapi au kwa wabunge pesa ipo kwa watoto wetu pesa hakuna.

Hapa mtwara STEMMUCO madhara yanaonekana sasa mana madada zetu wanahudhuria kwnye vle vijiwe hata km una buku 2 unampata kiulaini
 
Mar 6, 2013
14
45
hela cha kwanz n ndogo kulinganisha na maisha yenyew ya saiv na kitu kingn mwanachuo n mtu mzma ambae anajua matumiz yake na ratiba zake swala la kumpangia matumz mwanachuo ilo n ujinga maana kila mtu ana namna ya kutumia ela ake..swala la kusema awatunz ata akiba ilo so kwel maana ka hela oikiwa inakj kwa wakat watu wanakua na hela bado.hela n ya wik 8 na baada ya hapo unatakiw kupewa nyngn inapokuja swala la kukaa wik 12 yan 4 za ziada mwanachuo anaishje??? hata awe nan dunian hua anaish kwa mipang na ratb maarum znaztakiw kwenda sawa na wakat..HIVYO HAKUNA KOSA LOLOTE KWA WANAFUNZ ILA BODI NDO INAMIIMZ UYUUYU MWANAFUNZ AMBAE NDO MTU MKUBWA WA SERIKALI YA KESHO.
 
Advocate J

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,892
2,000
Huku ni kuwatega watoto wa kike,inajulikana wazi ratiba za vyuo,huu uzembe unatakiwa kupigawa kelele hivi sasa,fikiria huyo mwanachuo ni mwanao na sijui kama kweli atasoma huku akiwa na njaa na mawazo ya jinsiya kupata fedha,huku kweli ndio kuwajali wananchi,je huko bungeni mbona wanapata posho kila kukichwa hizo pesa zinatoka wapi au kwa wabunge pesa ipo kwa watoto wetu pesa hakuna.

Naunga mkono hoja mkuu "mfianchi"
 
pythogras

Member
Apr 12, 2014
12
0
Polen wanavyuo ambao hamjapata pesa!!kwa kwel inauma na inasikitisha saana.naomba ifahamike kwamba hata ubane matumiz kvp,pesa ya boom haiwez kaa wik12!!lkn tujifunze cha kujidaia ni kura zetu2
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom