Siku 6 zimebaki kieleweke selection za vyuo vikuu 2017/2018

Aen Urner

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
358
351
Zikiwa zimebaki siku 6 majina ya waliochaguliwa kusoma undergraduate programs katika vyuo tofautitofauti kutangazwa rasmi,
Napenda kutumia thread hii kuwakaribisha applicants wenzangu kutoa wishes zao kuhusu chuo na program ambayo wangependa kuchaguliwa siku ya tarehe 2/10/2017 na siku hiyo iwe siku ya screenshots za admission kwenye huu uzi na kumshukuru mungu kwa kutimiza ndoto zetu.
Post ya kwanza katika thead hii itakuwa yangu, karibu sana.
Povu linaruhusiwa, Matusi si Ustaarabu!
 
UDSM-Electrical Engineering
 
magufuli nataka katiba ibadilishwe uongoze daima......
like hapa kama unapenda hivyo.

usipokubaliana na mimi kama unasubiria selection ,basi mambo yako yataenda hovyo au utakosa mkopo.
 
Zikiwa zimebaki siku 6 majina ya waliochaguliwa kusoma undergraduate programs katika vyuo tofautitofauti kutangazwa rasmi,
Napenda kutumia thread hii kuwakaribisha applicants wenzangu kutoa wishes zao kuhusu chuo na program ambayo wangependa kuchaguliwa siku ya tarehe 2/10/2017 na siku hiyo iwe siku ya screenshots za admission kwenye huu uzi na kumshukuru mungu kwa kutimiza ndoto zetu.
Post ya kwanza katika thead hii itakuwa yangu, karibu sana.
Povu linaruhusiwa, Matusi si Ustaarabu!
Na Wewe Ungetaja Matarajio Yako.
 
Back
Top Bottom