Recent content by Atalanta

  1. Atalanta

    Yafahamu matumizi ya dawa ya Paraforce

    Hapana Mkuu kwakua dawa hiyo ina paraquat kama alivyosema hapo awali ukipiga kwenye maharage hapo utaua kila kitu kuanzia nyasi Hadi maharage yenyewe. Kiufupi hiyo NI kama roundup
  2. Atalanta

    Hivi kwanini hakuna mafundi wa earphones, chaji za simu na taa za umeme?

    Wapo Mkuu tenah hasa hasa uswahilini. kuna kipindi nilikua naishi Mbeya maeneo ya isanga ndani ndani hivi. Mahali nilipokua naishi vijana walikua Wana vuta Sana Wd siku moja alikuja kijana mmoja akasema yeye unajiita 26 life ila haina maana kama ya nyandwi tozi. Nikamuuliza sasa kwanini...
  3. Atalanta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Aah shukrani kaka ngoja niendelee kujaribu
  4. Atalanta

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wakuu Msaada tafadhari, kuna mtu nilimfungulia ACC Ajira portal lakini nimefika mwishoni kwenye Ku preview CV naona tarehe ya kuzaliwa IPO ambayo siyo yake. Tarehe inasoma 1/01/1970 . Na edit vipi hapa na sioni sehem ya kueditia tarehe ??
  5. Atalanta

    Nimekuwa nikitafuta wimbo wenye lyrics hii naomba mwenye kuujua

    Tumia Shazam I atukuletea jina lake. Ila huo wimbo ni huu https://youtu.be/COY4iUy1e-0?si=qFkydjxX5VyyLU1U
  6. Atalanta

    Condom inepasuka

    Nasikia wanasema siyo kila muda zinafanya kazi. Jaribu kufatilia
  7. Atalanta

    Condom inepasuka

    Hizi kitu zimefanya niitwe Baba saizi, ilibidi nikubali matokeo tu
  8. Atalanta

    Kuna umuhimu body spray na perfume zisambazwe bure kama kondomu maana kwenye madaladala humu tutakufa

    Mkuu sasa kama spray au perfume zikisambazwa bure huoni kama ndiyo itakua hatari zaidi. Sababu kila mmoja atakua ananukia harufu yake, sasa patatosha hapo ....??
  9. Atalanta

    Ushawahi kujichanganya kimapenzi mpaka ukawa unawaza hapo nyuma ulikosea wapi?

    We Jamaa ni unakela kmmke. Sasa unataka upendwe vipi ??
  10. Atalanta

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Asante mkuu nimeiona. Mwamzo nilikua nakumbuka kua niliiona ila sikujua ni page ya ngapi
  11. Atalanta

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN Naomba nisaidie E mail yako mkuu
  12. Atalanta

    Hivi ni kweli kuna watu wamewahi kupona kabisa H.I.V?

    Hapana me nipo salama Mkuu Ila Kuna nyuzi nyingi zilikuwepo humu JF watu wakisema kua wamepona ugonjwa huo.
  13. Atalanta

    Hivi ni kweli kuna watu wamewahi kupona kabisa H.I.V?

    Thread hii haipo kwaajili ya kupotosha au kuhamasisha imanipotofu dhidi ya H.I.V. UKIMWI upo na unaua! Wapo baadhi ya watu ambao walishawahi kupata H.I.V Lakini Baadae wakaja kupona. Wengine huweka wazi Lakini wengine hawaweki wazi. Wengi wao hupona kwa Kutumia dawa za asili na wengine kwa njia...
  14. Atalanta

    Msaada: Dawa ya fangasi

    Kopo lake nilishalitupa tayar. Lakini pale kwenye kopo limeandikw maelezo kua dawa inatibu mfumo mzima wa mkojo, waliandika magonjwa mengimengi . Ilikua UTI sugu, Gono, Fangas N.k mengine siyakumbuki.
  15. Atalanta

    Wafanya biashara wa mtandaoni bongo, mna shida sana

    Mkuu shukuru hata wewe umetumiwa mzigo wako. Kuna wengine hat huo mzigo hawapati na pesa yao inapigwa. Kiufupi bongo waaminifu mitandaoni ni wakutafuta na tochi
Back
Top Bottom