Kuna kitu imechanganya hapa.
Unafikiri shule inayoitwa 'Shauri Tanga' lazima iwe mkoani Tanga?
Shule ya Shauri Tanga ipo mkoa wa Kilimanjaro, wilaya ya Rombo, nadhani ndiyo unayosemea hapa.
Ni shule mbili tofauti, Old Tanga ipo katikati ya mji wa Tanga jirani na NMB Mkwakwani branch au opp Mkwakwani stadium. Tanga tech iko nje kidogo ya mji.
Wakuu hapo kwenye table, ktk Equivalent qualification - S/No 5, (v) naomba kueleshwa kuhusu 'a distinction for unclassified diplomas and certificates'. Hii ina maana gani?
Asante mkuu kwa facts!
88% of all accidents are caused by unsafe acts of people.
10% by unsafe conditions.
2% unavoidable - Acts of God
- Engineer Herbert W. Heinrich.
Salaam wana JF!
Kichwa cha habari chajieleza.
Fomu hii haina tofauti sana na application forms tulizozoea kuona huku kwetu. Hapa ninamaanisha personal details za mwombaji.
Form hii inasadikika ilichukuliwa pamoja na rundo la documents nyingine zaidi ya 100 pale timu ya Navy Seal ya USA...
Ushboy, huna jipya!
Wale wavivu wa kuingia mitandaoni ndiyo watakuwa hawajui history ya AK-47!
Alafu huyo Mikhail T. Kalashnikov umesema amefariki juzi?
Tukio la 23 December, 2013 unawezaje kuliita la juzi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.