Recent content by asporo

  1. asporo

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kumfukuza mke wa Askari baada ya kutaka tufanye mapenzi

    Ha ha ha ha..
  2. asporo

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ni sawa na jua umuhimu wake ni pale linapokosekana anahitaji upendo na heshima tu!

    Dah mzee wa siti ya kwanza.Wewe ni hatari
  3. asporo

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha ni kweli mke wangu kanisaliti

    Kaza Moyo Mkuu.Mwombe Mungu akupe Hekima kufanya Maamuzi. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. asporo

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Ibilisi yuko kazini na vijana wake ndio hawa.Mwenyezi Mungu atuepushe
  5. asporo

    JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto Anja Ringgren Loven atupwa mitaani kwa kudhaniwa Mchawi, afya yabadilika na kushangaza Dunia

    Mungu ambariki sana mtoto huyu na Mama aliyejitolea kumlea.Hakika Mungu ni Mwema Sana.
  6. asporo

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    Poleni sana kwa msiba Mkuu.Apumzike kwa amani.
  7. asporo

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif: Nimekusanya matokeo kutoka vituo vyote ninaongoza, aitaka ZEC imtangaze mshindi

    Wewe mwanamke ni mpuuzi mno.So unaona ni halali watu wadhulumiwe haki yao na wakae kimya tu.
  8. asporo

    JamiiForums Tanzania Mwanza - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Baadhi ya watu ni wapotoshaji.Wenje anaongoza huku Nyamagana.
  9. asporo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu simuelewi, na nimekuta picha yake FB imewekwa na msichana

    Ha ha ha ila kwakweli Salt comments zsko huwa zinanifurahisha sana...nimecheka sana
  10. asporo

    JamiiForums Tanzania Gari yaua watano baada ya kutumbukia mto Lugarawa - Ludewa

    Mungu awapumzishe kwa amani marehemu wote.
  11. asporo

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

    Ha ha ha hiyo Linear Equation umeformulate Ki Genius kabisa. masai dada
  12. asporo

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na mauzauza Moshi

    Na kitimoto zote hizo Uchagani majini yanaishije?
  13. asporo

    JamiiForums Tanzania Nimewekwa kama reserve na NMB, nitaitwa kazini?

    Kazi umeshapata mkuu..within three months utakuwa umeanza.NMB wana utaratibu huo.Nawafahamu watu kadhaa waliowahi kuwekwa reserve na mwisho wa siku wakaitwa kazini. Nikutakie kila la lililo jema na Mungu akuongoze ufanye kazi kwa Uaminifu. God Bless You
  14. asporo

    JamiiForums Tanzania William Malecela vs Flora Lyimo (Mbuta Nanga)

    Dah kama hapo ni kwa mama yako kweli,Bora ungezaliwa Kuku tu.Pole kwa waliokuzaa aisee..uneshindwa kumnunilia hata kitenge kizuri Mama yako..
Back
Top Bottom