Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

Wee subiri subiri baada ya muda atakuletea mdogo wake NaBii then atapata mimba nyingine ya tatu atazaa mtoto mwingine wa kike atakwambia DADA WA KINABII...,yote tisa kumi siku utakapomfumania mwenyewe kwa macho yako yaani unamwona Mpenzi wako anagegedwa ndipo atakapo kuambia Huyu ni MALAIKa AMEAGIZWA AJE ANIGEGEDE nipate nabii mwingine..
 
Hadithi yako inatufundisha nini?

Fu unataka kufunga harusi au ndoa?

Umechaguliwa shule gani kwenda form one ?
 
Hii hadithi nimeipenda inaelekea huyu jamaa ni mcheshi napia anaonekana anaanza kuonyesha ujuzi wake wa kuchekesha nimecheka sana sina chakuchangia jamani.
 
We ---- na mjinga,nimekuelewa sana,nakuombea usameheewe
 
Hahahaha maajabu ya dunia huyo mtoto kamtolea wapi kama bikra?
 
hahahahahahahaha hahahahahaha jamani hizi imani sasa zmekuwa too much..... yani malaika atoke zake mbiguni kaja kampa mimba huyo mchumba wako... na wewe ukamuaini.... hivi hizi biblia mnasomaje nyie watu... huyo jamaa aliempa mimba nick name yake ni malaika labda khahahahahahahahahahaha... aisee nimecheka sana
 
Wakirisitu!Anamkashifu Mary mother of christ mmekazana kusympathise pamoja naye!!
 
Hii sasa kali, kamzaa yesu nn???

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mmmmh! Kapewa mimba na malaika au mini mahaba...mi nadhani huu no ucheshi sio reality
 
Wanajamvi habari zenu. Mimi nina mchumba wangu ambaye ni mkristo mwenye imani sana na dini yake. Mtaratibu, mpole, na ana heshima sana. Katika mahusiano yetu hatujawahi kufanya mapenzi mpaka tutakapofunga harusi na pia ni bikra. Nilipata safari kwa mda nimerudi nimemkuta amejifungua mtoto wa kiume. Nimeshangaa namuuliza kulikoni, anadai mimba hiyo alipewa na malaika.

Nimemwamini ila nikamuambia kama ndivyo basi huyu mtoto atakuwa nabii hivyo amsimamishe ili atembee juu ya maji kama Yesu, akaniambia amefunuliwa ndotoni kuwa mtoto huyo ataanza kufanya maajabu atakapofikisha miaka mitano.

Hapa nimeanza kupata shaka naombeni ushauri!

Umepata faida gan kukashifu iman ya wenzio? Maisha baada ya kifo ni dhahania hakuna anayejua. Usitukane mamba kabla hujavuka mto. Na usamehewe since HUJUI ULITENDALO.
 
Kwii kwii kwii wacha nicheke mie hii funga mwaka by 2014 yaani mwaka unamtukio huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom