Wadau nimefanya interview NMB,then wakanicall na kuniambia wameniweka reserve wataniita baadae,Je huu ni mchanga wa macho?au kuna watu wamewahi kuwekwa reserve then wakaitwa kazini baadae?
Kuwekwa reserve ipo ila sijajua kuhusu kupigiwa simu nakutamkiwa kuwa upo reserve.... Ila nakushauri ufanye mchakato wa kazi sehemu nyingine. Kuwa kwenye reserve ni probability kuita hivi karibuni..
Kuwekwa reserve ni kitu cha kawaida. Utaitwa endapo kuna mtu aliitwa lakini kutokana na sababu moja au nyingine akufika au akufikia matarajio. Mashaka yangu ni wewe kupigiwa. Kawaida walio reserve list hawapigiwi.
Kazi umeshapata mkuu..within three months utakuwa umeanza.NMB wana utaratibu huo.Nawafahamu watu kadhaa waliowahi kuwekwa reserve na mwisho wa siku wakaitwa kazini.
Nikutakie kila la lililo jema na Mungu akuongoze ufanye kazi kwa Uaminifu.
God Bless You
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.