Recent content by aspen

  1. aspen

    JamiiForums Tanzania Summary ya Maongezi ya Rais Samia na Tundu Lissu yaliyofanyika Ubelgiji

    Wewe unaona lisaa ni lirefu unabishana na mkurugenzi wa mawasiliano ikulu grow up
  2. aspen

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ingine ya coaster 1HZ

    Ni pm
  3. aspen

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais wa CHADEMA, E. Lowassa na mgombea mwenza wanapeleka NEC petition yao

    Alishasema hajui kitu inaitwa kushindwa na hajawahi kushindwa ok itakuwa new experience kwake kushindwa kilichobaki ni kuweka records zake kwamba this time ni loser
  4. aspen

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Ben Saanane asikamatwe?

    Unajua kazi ya ben au unapigapiga makelele
  5. aspen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Mkuu hii issue Ni ngumu na suluhisho Ni kutafuta rehabilitation nzuri kwa mtoto Wako kwa kufikia inaonekana Ni addicted na pombe na bangi akikosa hela lazima asogeze chochote apate chochote swala la kumfukuza na mamaye halitatui tatizo Ni ubinafsi ulimpenda akiwa na mwanawe Ni jukumu lako...
  6. aspen

    JamiiForums Tanzania Kwanini kunguru hapigwi shoti akisimama kwenye transfoma au waya za umeme?

    All birds sio kunguru tu they have scales like insulations help them
  7. aspen

    JamiiForums Tanzania Namna English Medium zinavyoua elimu yetu

    Ziwa manyara sijui ASP inakusaidia nn kitu language mkuu watu tulikuwa tunajua miji mikuu na majiji yote makubwa sasa hivi ngeli Ni tatizo achana na civics mkuu tapika yai vizuri kwanza
  8. aspen

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Acheni kupotezea watu muda cdm sio ccm wagombea wenyewe wawili hapo kinachojadiliwa Ni mmoja agombee urais mwengine makamu wake hakuna kingine Slaa urais Lipumba vice rais
  9. aspen

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    Jk made my day
  10. aspen

    JamiiForums Tanzania "Facts" Tatu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2015

    Agustino njema kaka
  11. aspen

    JamiiForums Tanzania Msaada: AC ya gari kusababisa ukungu/unyevu kioo cha mbele

    Ukiwasha ac mkuu weka kwenye deforester
  12. aspen

    JamiiForums Tanzania Ugali ni chakula cha kimasikini

    Itakuwa zaidi ya 80% parcent wanataka sana mahindi kwa silage the rest wanatengeneza high moisture corn au snaplage the rest ni grind corn
  13. aspen

    JamiiForums Tanzania Carlo Ancelloti atimuliwa Real Madrid

    Pep gurdiola ndo next coach hutaki unaacha
  14. aspen

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Siasa bwana ngoja tuone mwisho wake
  15. aspen

    JamiiForums Tanzania Mabasi Yaendayo Kasi (DART) Dar Yataenda Mwendo Gani Wakati wa Mafuriko?

    Zitakuwa Ni amphibious type
Back
Top Bottom