Recent content by Aspatam

  1. A

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    kuna mtu amenunua till ya mpesa kwa mtu na baadae imezingua na kuonyesha emmegence muda wote na hana detail za hyo lain ..pia kuna hela sijui mnaweza kumsaidia je ?
  2. A

    NAOMBA KAZI YA KUFUNDISHA , BIOLOGY AND CHEMISTRY.

    kwa sasa nipo kilimanjaro .nimehitimu bachelor of education in science. tumia ..naomba unitafte privately ( pm) hapa jf . .Mungu Awe nasi.
  3. A

    TANESCO yaanza kutumia makundi ya WhatsApp kuwasiliana na wateja

    sawa n hatua nzuri sana lakini mkubuke hatuna access na server ya whatsapp..hv wataalamu wa IT hapa tz wanashidwa kutengeneza forum website ya server yetu na kutengeneza app yake ..tukaacha utegemezi jaman
  4. A

    Watangazaji wa Clouds punguzeni kujiona mmefanikiwa sana, ninyi ni mafacilitator hamuwezi kuwa mnajua kila kitu

    mm huwa najiuliza hivi watangazaji wana elimu gani mpka wanaitwa kuwauliza maswali watu wakubwa kama raisi au waziri mkuu, sijui maswali wanayaandaa wao ? au kuna kamati inayoandaa maswal maalumu ya kuuliza? ..
  5. A

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    mm nahic njia sahihi n kutoruhusu mjadala wwte wa unaohusisha neno ushoga ili tusipate kulisikia wa kulifatilia hata katika mitaala ya shule homosexuality ifutwe ..n bora tusijue kuliko kujua na kutaman kujaribu .
  6. A

    Nashauri Serikali iajiri Walimu wenye ufaulu wa daraja la kwanza au la pili kwenye vyeti vya elimu ya sekondari(Kidato cha nne na sita)

    kuelewa kitu kunatokana na utayari wa mjifunzaji..afu pia mwl habebi maarifa aliyo nayo na kuyaingiza kichwan mwa mjifunzaji bali anamuwezesha mjifunzaji kuelewa ..
  7. A

    CRDB Mnatuibia, acheni

    mbona hyo ya kudeposi tsh 1000 kwa ada za shule kupitia CRDB ipo tangu zamani mm nimedeposit ada yangu mwaka 2009-2012 na nikatoa hela ya deposit ili branch ya CRDB karagwe..sasa sijui n wizi au ndo utaratibu wa baadhi ya branch zao
  8. A

    Nini hatma ya elimu ya watoto wetu, wanaosoma shule za serikali hususani shule za kata?

    shule zetu za st..kayumba mtt anafundiahwa topic moja mwk mzima then ndo anafaifanyia mtihan na anafaulu tu ikija NECTA hana lolote. TUTAZIDI KUONGOZWA NA KIZAZI CHA WALIOKWISHA KUJIKOMBOA KAMA WANASIASA MAANA WATOTO WAO WAPO SHULE BIRA WANASOMA AFU WW MWANAKIJIJI UNAAMBIWA CHANGIA MWANAO ASOME...
  9. A

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    ukwel unauma sana ..pole bunge kwa kuhisi majeraha ya watu makini .nachosubiri ni data na interpretation ya data toka kwa CAG na Mdee .lakin watambue kuwa kila wanachofanya wanaonwa .
  10. A

    USHUHUDA: Namna Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi NEC Ilivyouhujumu Uchaguzi Jimbo La Temeke

    hv huwa kuna siku maalaumu na saa maalum ya kurudisha form NEC ..afu kwa nn NEC isitoe sample ya jinsi ya kujaza form au sample wanayo ccm? .kwa nn wapinzani ndo wanakosea kujaza? na je hzo form zipo kwa kimombo kigumu au kiswahili? .au mgombea wa ccm ana form tofaut na wa upinzan ? ..form ya...
  11. A

    Vitabu nilivyosoma mwaka 2018 – Zitto Kabwe

    hongera sana mh.zitto lakin kumbuka kusoma hakutaacha alama katika jamii yako bali kusoma na kuandika ndo kunaacha alama, andika pia mkuu au mm ndo sijui vitabu uloandika?
  12. A

    CCM Moshi Vijijini yapangua hoja zote za Mbatia, wamtaka aage

    hamjiuliz kwa nn mkuu wa mkoa haelewane na wakuu wa wilaya malizen huo mgogoro, naona mmemshindwa mbatia mnaomba msaada kwa police?kwel hamjiamini .
  13. A

    Jarida la "Nimetekeleza" lipo mtaani: Linazungumzia mafanikio ya uongozi wa awamu ya 5

    Africa raisi anafanya kazi kwa miaka 3 tu miwili n ya kujiandaa na uchaguzi ujao ,kwa hyo tusitegemee jipya hapa tz
  14. A

    Nimewatembelea na Kuwapa faraja wafungwa akiwemo Mbowe

    ww ndo umempa faraja au yeye ndo kakupa faraja ? maana inaonekana huna faraja ndg ila asante kwa kuwaza vzr
  15. A

    Hoja ya Edo Kumwembe kuhusu Serikali na upinzani

    kuna watu wana mahaba na john na hawana mahaba na taasisi wanazozitumikia .na hawajui john Tz atapita tu
Back
Top Bottom