bhikola
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,133
- 1,668
- Thread starter
- #61
Najaribu kufikir tu...kama akikopa lak 2. Anapokea lak 90 maanake wamekata 5% ya hela uliyooomba yaan lak 2.
Sasa tuje siku ya malipo...fikiria weww ukiwalipa tu ile lak na 90 uliyochukua cash je wao watakuwa wametengeneza faida?! Jibu ni hapana. Watakuw hawajaingiza income yoyote hapo.
Ukitaka kuelewa zaidi chukulia kama wangekupa lak 2 kamili...bila shaka ungelipa lak 2 na elf 10. Sasa kwasababu walishachukua elf 10 yao toka mwanzo ndo sababu unarudisha lak 2 kamili.
Anyway...najua hesabu hii alikuja nazo Dr living Stone....
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu,
Sasa fikiria kuwa umepewa 190, na unatakiwa ulipe na 5% utalipa shs ngapi?
Maana kama halali yao ni 5% haupaswi kuwalipa 10%.
Msijifiche nyuma ya kikokotoo. Mngetaka haki bin khalali mngempa hiyo 200 kisha mkate 210 wakati wa mrejesho