Recent content by Aslan127

  1. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Kwa watumiaji wa Google Pixel

    Naombeni ushauri wanandugu, kati ya google pixel 5 na google pixel 5a nivute ipi? Maana ntanunua simu mpya weekend hii.(Focus yangu kubwa ni kwenye sekta ya Camera. Nahitaji yenye camera nzuri zaidi.)
  2. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Water proof school bags Nzuri sana Size medium size Color:green,blue,pink &red Price :18000tzsh pekee [emoji419]:Manzese Argentina [emoji598]:tunafanya delivery na mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. [emoji338]:0762370433 [emoji338]:0714483172
  3. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Wazo la kuuza gesi ya kupikia kwa kiwango cha pesa uliyonayo

    Kopa gas washafanya hio boss
  4. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Feisal kuondoka Yanga?

    Nasikia Azam anaenda kulipwa 16M kwa mwezi. Ukilinganisha na 4M aliyokua anaipokea yanga inaonekana dhahiri kwamba sababu ya kuondoka yanga ni maslahi madogo ukilinganisha na mchango wake uwanjani.
  5. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Utaratibu wa kulipa unaweza ukaja kulipia dukani, au ukalipia kwa lipa namba boss. Mawasiliano zaidi:0762370433 Sent from my PBAM00 using JamiiForums mobile app
  6. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ndio naagiza mwenyewe boss. Karibu tuwasiliane 0762370433 Sent from my PBAM00 using JamiiForums mobile app
  7. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

    Godfather 1, 2 &3 Sent from my PBAM00 using JamiiForums mobile app
  8. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Carpets ft 6*6 zinapatikana kwa tzsh 50000 jumla kuanzia pisi 3, Reja Reja 53000tzsh kwa pisi Mawasiliano:0762370433/0714483172 Karibuni sana
  9. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    [emoji3581]Blender nzuri za Silver Crest Heavy duty [emoji3581]Jagi moja [emoji91]Bei 70,000 per piece [emoji3581]Delivery tunafanya kwa garama za mteja [emoji3581]Mikoani tunatuna kwa uaminifu sana [emoji3581]Ofisi zipo Manzese Argentina [emoji3581]Mawasiliano:0762370433/0714483172 Karibuni sana
  10. Aslan127

    JamiiForums Tanzania God Father. Kitabu cha Kwanza

    "Behind every great fortune there is a crime." Balzac [emoji91][emoji91][emoji91]
  11. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Silver Crest Heavy duty Blenders zinauzwa

    [emoji3581]Blender nzuri za Silver Crest Heavy duty [emoji3581]Jagi moja [emoji91]Bei 70,000 per piece [emoji3581]Delivery tunafanya kwa garama za mteja [emoji3581]Mikoani tunatuna kwa uaminifu sana [emoji3581]Ofisi zipo Manzese Argentina [emoji3581]Mawasiliano:0762370433/0714483172 Karibuni sana
  12. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba kubwa linauzwa Songea

    Shamba la balozi hilo
  13. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ana Pass degree ila kapata kazi kwenye multinational company bila connection

    Mshaala wake sh ngapi kwa mwezi?
  14. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa transit goods kwenda Zambia

    Basi kwa kufata hii formula ya number of km x 1.9usd lori zinazopiga trips za local zinapata faida ndogo sana.
  15. Aslan127

    JamiiForums Tanzania Kati ya mahindi na alizeti kilimo kipi kinalipa?

    Hapa kwenye takwimu za idadi ya gunia za mahindi na alizeti sio sahihi, ila huko kote ni sahihi.
Back
Top Bottom