Nahitaji usafiri wa transit goods kwenda Zambia

150,000 TSH per ton!!? Ur not serious brother,unazijua vizuri gharama za usafiri mpk Lusaka,road tolls,fuel, allowance, permit?

Hebu angalia vizuri chief

Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app
Kwa kweli sijawahi kupeleka mzigo huko. Zamani nilikuwa nafanya export za kwenda Europe za perishable goods kwa hiyo ni vizuri nipo na ninyi hapa kuna kitu naweza kujifunza. Asanteni.
 
Mkuu iko hivi Bei ya kwenda Zambia au Congo inajulikana na pia Bei ya kutoka Zambia au Congo inajulikana kutoka dar kwenda au kutoka Zambia kurudi hivyo Wala usipate shida wewe Kama hela ipo sema upewe connection ya magari na sio kazi ya kupatania maana ni kazi zinafanyika kila siku mkuu
Bajeti inagomba mkuu. Biashara ina margin ndogo sana naweza kujiongeza kidogo lakini
 
Usd 70/t ni gharama ya kusafirisha mzigo kutoka dar mwanza mwamba mkuu.

Je unajua umbali na diesel inayotumika dar port mbaka Lusaka.?
Dar to tunduma ni km 920, tunduma to Lusaka ni km 1,023 . Nani apeleke gari kwa 150,000 kwa tani bro.

Next time theory nzuri ya kutaka kujua approximation ya gharama ya kusafirisha chukua numbers of kilometers unazotaka mzigo uende zidisha kwa usd 1.9 mfano dar Lusaka 1943 x 1.9$ = 3690usd.

Najua utakuwa umepata mwanga kiduchu
Huo mfano hapo chini ndio bei yenyewe iyo ya kusafirisha mzigo wake
 
Usd 70/t ni gharama ya kusafirisha mzigo kutoka dar mwanza mwamba mkuu.

Je unajua umbali na diesel inayotumika dar port mbaka Lusaka.?
Dar to tunduma ni km 920, tunduma to Lusaka ni km 1,023 . Nani apeleke gari kwa 150,000 kwa tani bro.

Next time theory nzuri ya kutaka kujua approximation ya gharama ya kusafirisha chukua numbers of kilometers unazotaka mzigo uende zidisha kwa usd 1.9 mfano dar Lusaka 1943 x 1.9$ = 3690usd.

Najua utakuwa umepata mwanga kiduchu
Basi kwa kufata hii formula ya number of km x 1.9usd lori zinazopiga trips za local zinapata faida ndogo sana.
 
Back
Top Bottom