Recent content by Asiliatz

  1. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA iandae Mgombea Urais Mwanamke 2025 kuepuka ukatili wa kijinsia

    Mnachukulia masihara lakini ni ushauri mzuri huu
  2. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

    Hapana nyingi naona watu wanazifurahia lakini wanzilishi wakisha kosa tu running capital zinakufa
  3. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania kupitia Online Marketing

    Jumia/ kupatana ya kitanzania itakuwepo tu soon, naona sahivi zipo nyingi zinaanzishwa na waTanzania, itatoke moja hapo itapenya. Facebook/ twitter ya kitanzania hapa naona bado maana inalegalega mno, wapo wengi tu wenye uwezo wakutengeneza site kama hizo na wala sio vigumu kuzitengeneza...
  4. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Kilichommaliza Freeman Mbowe hiki hapa

    Kumbe sokomoko alikua ccm😅😅
  5. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya somo la Historia iliyositishwa ilijaa propaganda za kumsifu Magufuli kuwa ni kinara wa mabadiliko nchini

    Kama ishu kusifia, kwenye vitabu vyasasahivi kuna wazungu wengi tu wanasifiwa.
  6. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji nyumba za kupanga

    Kuna jamaa anaitwa Danlok huwa ana formula yake anaita "Wealth triangle". Yani inastage 3. 1. High income skill 2. Scalable business 3. High income investment. Hilo swala la nyumba za kupangisha ni stage ya 3.
  7. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 1 nifanye biashara gani kwa siku nipate 12,0000/= faida?

    Kama alifuata huu ushauri, imesha kula kwake
  8. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vioo vya laptop vipo vinne

    Slim mkanda wa mdogo 15.6 ntapata?
  9. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Uandishi matangazo mtandaoni

    Uandishi matangazo...maandishi yana nguvu pale yanapotumiwa, kumshawishi mteja anunue huduma au bidhaa. Kuna watu/wafanyabiahara na wajasiriamali wengi wanatumia fedha nyingi kujitangaza mitandaoni ilikupata wateja, lakini matokeo yake yanakua si sawa na vile ametumia pesa. Wengine wamekua...
  10. Asiliatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fursa kwa Developers

    Una develop kwa kutumia language gani au frameworks zipi?
  11. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya wiki, jinsi ya kupost kwenye mitandao ya kijamii

    El murjeb, Jumatatu kama inavyojieleza hapo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya wiki, jinsi ya kupost kwenye mitandao ya kijamii

    Habari ndugu wananchi,. Kitu kigumu uwa ni kupanga ratiba, kazi yakuitekeleza huwa sio ngumu sana kama ukipanga ratiba inayotekelezeka. Hapa nimekusaidia kupanga ratiba ya wiki nzima nini unapaswa kupost kwa biashara yoyote ile. Siku 2: jumatatu na jumanne ni kwaajili ya wateja, hapa fikiria...
  13. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Tony-stark, Superhuman wapo wakutosha, wengine wanaruka na uongo usiku huko daily. Bila kusahau kina Elon Musk a.k.a Tony Stark nawalio watengeneza hizo A.I... Hao A.I wakituzingua tutashinda tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Wakanda Marvel wanasema ni mji wakufikirika uliopo Afrika Mashariki Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Asiliatz

    JamiiForums Tanzania Nimeingia mtandao wa kijamii wa kichina na kusoma mijadala kwa kiswahili | heri ya mwaka mpya

    Ndio huwezi, inahitaji namba ya simu na Tanzania haimo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom