Recent content by ashomile

  1. ashomile

    JamiiForums Tanzania Waliokufa wamekwenda wapi??

    Hakuna maisha baada ya kifo , ukifa umemaliza yote yakupasayo kwahiyo asitokee mtu akakudanganya etii kuna sehemu wanakwenda , hakuna bali wanaoza nakubakia mifupa mitupu.
  2. ashomile

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Bado tunamsiba wa wapendwa wetu wa Oktoba 29
  3. ashomile

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi pamoja na sehemu ya kuishi

    Mimi napita ila naomba niwakumbushe tu kazi yakutafutiwa siyo nzuri sana kama kazi yakujitafutia kwa moyo wako unakuwa sacrificed .
  4. ashomile

    JamiiForums Tanzania Tatizo la iPhone 14 kutochaji tatizo linaweza kuwa nini? Nimejaribu Njia zote

    Sisi watumiaji wa Android tupite kama tunaaga mwili wa marehemu , mada hii haituhusu , ungelikuwa na itel ningelikushauri chakufanya . Sisi wa simu za laki moja na ishirini tuna raha kweli kweli.
  5. ashomile

    JamiiForums Tanzania Sio rahisi kuachiwa kuachiwa kirahisi

    Sasa kumshikilia itasaidia nini ? Zaidi yakuendelea kujichafua kimataifa ? Ni vema wamwachie huru kurejesha Taifa lililopotea
  6. ashomile

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanasheria au mwanasiasa msomi kabisa halafu anasusia uchaguzi au anakiuka sheria?

    Wewe ni mjinga wa mwisho . Hapa Tanzania kulikuwa na uchaguzi au uchafuzi ? Utaingiaje kwenye uchaguzi wenye dosari ?
  7. ashomile

    JamiiForums Tanzania Samia mguu sawa: Bima ya afya kwa wote

    Hawataweza niamini hakuna sekta ngumu kama sekta ya afya inahitaji serikali imara, lakini serikali hii ina mzigo mkubwa kuliweka pamoja taifa lililopotea siyo kazi rahisi.
  8. ashomile

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya "bosses" wa kizungu wana roho nzuri na waumgwana kuzidi Waafrika, waarabu, wachina na wahindi? Malezi bora au ni nini?

    Wazungu wamejaaliwa roho nzuri na yenye utu ndani yake , Mgodi wa Geita unaongozwa vema sana na wanajua kutenda haki bila upendeleo , ila wasiwe makaburu maana wanaroho mbaya sana , ukifanya kosa hata kama ni kadogo huwa kakubwa na mbaya zaidi wazungu sidhani kwao kama ni masikini , ila wachina...
  9. ashomile

    JamiiForums Tanzania Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

    Hakuna swali litakalomtia hatiani , sema serikali kama ilipanga kumhukumu itamhukumu ila itakuwa FEDHEHA KUBWA kwa Taifa lililopoteza matumaini , ni vema wafanye maamuzi kwa kutumia akili ili kuliokoa Taifa lililopoteza matumaini . Yangu ni hayo na yanapaswa kuzingatiwa . NB. HAKUNA MARIDHIANO...
  10. ashomile

    JamiiForums Tanzania Swali maalum litakalomtia hatiani mtuhumiwa wa Uhaini lilishaulizwa na Wakili Ajuaye

    Hivi unajua maana ya UHAINI au unabwabwaja kama mahakama inavyofanya.
  11. ashomile

    JamiiForums Tanzania Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

    Mkuu leta odds , mimi nakufuatilia kwa karibu sana
  12. ashomile

    JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke anamtukana na kumsema vibaya sana Ex wake ishi nae Kimasta, mjifunze kutoka kwa Chanuo

    Chanuo anadate na yeyote haangalii hata ustar 🫥🫥🫥 kikubwa mfike bei asee kuanzia shilingi elfu 30k , kuna jamaa yangu wa mining alimleta kwa booking akaila vema.
  13. ashomile

    JamiiForums Tanzania Ufunuo: Ninafadhaika Kuona kwamba Mtu mwingine anaenda kupotezwa

    Mkuu mtaje jina buana ajue namna yakujiokoa katika mtihani huo
  14. ashomile

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichunguze Mradi wa sukari unaojengwa Kasulu - Kigoma kuna tuhuma za rushwa na Wafanyakazi kunyanyasika

    Mimi pia naunga mkono nilifanya kazi huko kama operator mwaka 2022 kiukweli wana mambo ya ajabu sana.
  15. ashomile

    JamiiForums Tanzania Nchimbi ni Shujaa wa Taifa au kajiuzulu kwasababu zake?

    Ukute yuko kizuizini na ukute barua yenyewe kaandikiwa , kuna watu wamemkamata kwa mabavu na kumweka chini ya ulinzi maana Warioba anasema hata simu zake hazipatikani , Viongozi wakitanzania wamefeli pakubwa ila matatizo yote aliyaanzisha Magufuli lakini hawa waleo wamedhidisha asee , kuua ...
Back
Top Bottom