Polepole anahitaji msaada wa matibabu kuliko kumshangaa

POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Mbona wewe ndo unaonekana ndiyo unahitaji madaktari wa mirembe?
 
Watanzania wenzangu mtu huyu polepole asaidiwe ASAP.
Kabla Ugonjwa hauja msizi brain yake!, apatiwe glycogen tablets (sukari ya Ubongo) polysaccharides!
Wewe ndo unayeonekana kuhitaji msaada kwa sababu ni kama hauna akili kwa sababu hamujibu hoja.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.

UNAHITAJI MUME HARAKA KULIKO KUKUSIKITIKIA. HALI UNAYOPITIA NI SABABU YA KUKOSA MUME.
 
Kaape tako utakua umensaidia ng'ombe ww
 
Y
Wewe ni Malaya wa kisiasa .Wewe ni Chawa ,Wewe ni mhuni
Wewe ni miongoni mwa watu wanapaswa kuoigwa risasi Kwa sababu ya ufisadi na kukosa uzalendo

OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE ENDA KUPIGA KURA
OLE WAKE MWALIMU ATAKAYE SIMAMIA UCHAGUZI
OLE WAKE MGAMBO ATAKAYE SIMAMIA UCH
 
Profesa Mazurui wa Mombasa Kenya aliwa kusema Watanzania wanatatizo mmoja kupenda kitu kupindukia akaita Tanzaphilia.Japo aliyasema miaka ya 60 lakini bado usemi wake una mashiko hadi Tanzania ya leo.
Polepole huyu huyu aleyekuwa msemaji mkuu wa chama tawala, anajifanya hakuyaona madudu yaliokuwa yanafanyika anataka wananchi eti wamuamini.
Wapo wenye hasira na serikali ya sasa,wanamuona Polepole kama kombora la haki!
But two wrongs don't make a right.
Kumshabikia Polepole ni sawa na kumshabikia Baraba enzi za Masiah.
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Aayehitaji matibabu ni wewe sio polepole
 
Wewe na Slow Slow nani apuuzwe ? Hapa ni heri tupuuze wewe uliyetuandikia upuuzi wa aina yake , Pole Pole ameshafanya toba na sisi tumemsamehe .
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Wewe na Comred Pole Pole Nani Aswa Anaitaji Msaada Zaidi wa kitabibu? Ebu Angalia Bandiko Lako lilivyo kosa Akili Kwa Ajiri ya kuendekeza Uchawa na Ukilaza, Wajinga kama Wewe ndio mnasababisha Watu Wote humu JF tuonekane Atuna Akili, Ili Bandiko Lako ungelipeleka FB Kwa Vilaza Wenzio
 
POLEPOLE ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KULIKO KUMSHANGAA

Hivi sasa idadi kubwa ya Watu wameamua kumpuuza polepole kwa kile anachokisema na kukirusha kwenye mitandao kila siku,Sababu ya Wananchi kumpuuza ni kutokana na historia yake wakati wa serikali ya Magufuli

Kwanini Polepole hakumshauri Magufuli asivifungie vyama vya siasa kufanya kazi zao za kikatiba?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awatafute wahuni waliokua wanabambikia watu kesi na kupora mali zao,wahuni waliokua wanateka,anatesa na kuuwa watu?

Kwanini polepole hakumshauri Magufuli awashughulikie wahuni walipora fedha kwenye mifuko ya hifadhi za jamii na kupelekea wastaafu kukosa fedha zai kwa wakati?

Leo polepole anajikasimisha majukumu mazito ya kujifanya kuitetea CCM na Tanzania bila kutaja jukumi hilo amepewa na nani,kiufupi yani yeye anakijua chama kuliko wajumbe wote wa CCM na ana uchungu na Tanzania kuliko watanzania wenyewe walioamua kumuunga mkono Dkt Samia?

Polepole huyu huyu alikaa kimya alipowasikia wahuni waliojitokeza hadharani kutaka kubadilisha katiba ya Nchi ili kuongeza mda wa ukomo wa Urais Madarakani.Hii inaonyesha wazi walikaa kimya ili kutaka kupima upepo wa Nje ili mda wao waliopanga ukifika watekeleze adhima yao ya kuendelea kubaki madarakani mpaka mda waliokua wamepanga.

Polepole ni mtu wa kupuuzwa hapaswi kusikilizwa hata kidogo na tunajua hawezi kuwa peke yake ni lazima kuna kundi liko nyuma linalompa nguvu na kumficha,Lakini tunasema wakati wa Mungu utafika mda sio mrefu na hukumu ya Mungu itafanya kazi yake.
Ningeshangaa kama PASCAL MAYALLA asingelaiki hii post ya huyu mgonjwa wa akili na mfumo wa fahamu.
 
Mpo wengi mmejiunga August kwa ID's mpya kumshambulia Polepole, hakuna hata mmoja anayejibu hoja zake zaidi ya kutetea matumbo yenu. Mmejaribu kumzima mmeshindwa, naona hata mitandao hamfungii tena, mmejiona wajinga. Mmeishia kuanzisha threads mpya kila dakika 10, kumshambulia Polepole.
Wanasahau mpaka waanzisha uzi wa aina moja kwa ID,s tofautitofauti.
 
Nimeona wengi wenu hamna ubavu wa kumjibu Polepole
 
Yani haya majama mezi. Habari yameiba na hayaacknowledge source...
 
Back
Top Bottom