Nimemuangalia yule Mwanasheria na Hakimu nimebaki nacheka tu

Nimemuangalia yule Mwanasheria na Hakimu nimebaki nacheka tu

Wanajua ilansasa wanajamrishwa cha kufanya wapo off mood bora liende
Mimi hata kama nimepewa maelekezo na mtu mkubwa wa serikali kiukweli sipo tayari kuipindisha sheria kwa kulinda maslahi yangu binafsi , nitainyoosha sheria hata Nikikoswa kazi naamini nchi itakuwa imeona nimetenda haki .

Hakimu wa leo amethibitisha Tundu Lissu hana hatia .
 
...ukimuangalia yule hakimu anavyouma midomo, unaona kabisa nafsi na akili vinapingana... nahisi akitoka pale huwa anajifungia mahali analia...
Yule mwanasheria wa serikali ni kama mtu anayecheza. Anajua hata asipoongea maamuzi yanajulikana. Swali langu ni kuwa, kama Mungu aishivyo, vizazi vyao itakuwaje? Je, vitavuna uonevu wanaoupanda?
 
Walionewa Zambia na Senegal leo wapo ikulu na sasa inaenda kutokea Tanzania
 
Ujinga wa msingi kabisa ni kuamini kwamba hapa tanzania kuna mtumishi hasa kada za kutoa haki anatumia misingi ya taaruma yake kufanya kazi,linapokuja swala la kisiasa.

Usitilie shaka uwezo wao,wala utimamu wao wa akili,wako sawa kabisa ila hawawezi kufanya inavyopaswa kufanya.
 
Serikalini huwa kuna watu wenye mambo ya ajabu ,

Ukimuangalia Mwanasheria wa serikali na ukamuangalia hakimu unabaki kucheka kuwa huyu nae eti ni hakimu!

Wale jamaa wana upeo mdogo Sana unaweza kujiuliza hizi Kazi huwa wanazipataje ?
Huyu hakimu aliwahi kumifanyoa uhuni mahakama ya kinondoni, sitamsahau
 
Back
Top Bottom