Recent content by Ashmina

  1. Ashmina

    Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    sijawahi itwa hata mara moja kwa interview nikiomba kazi kupita brightermonday wala zoom miaka yote tangu nizijue hizo site
  2. Ashmina

    Viungo gani vinafanya mishikaki inukie?

    tangawizi, kitunguu thomu, bizari nyembamba na uzile inaleta harufu nzuri
  3. Ashmina

    Mume wa kunistiri uko wapi jamani?

    Mungu akupe mwenye Kheri na ww
  4. Ashmina

    Fahamu Aina 7 Za Juisi Zenye Kuondoa Sumu Mwilini

    unaweza kutumia asali as a substitute
  5. Ashmina

    Utengenezaji wa juice (cocktail) ya rosela

    yanasaidia sana kuongeza damu pia
  6. Ashmina

    Utengenezaji wa juice (cocktail) ya rosela

    ni maua flani ivi mekundu hua yanakaushwa jina jengine yanaitwa karkade
  7. Ashmina

    Sea food gani unaipenda?

    seafood is life: napenda kila kitu kuanzia dagaa, changu, pweza, ngisi, sheell fish etc, etc
  8. Ashmina

    Utengenezaji wa juice (cocktail) ya rosela

    walaa sio chachu kama utaizimua vya kutosha
  9. Ashmina

    Utengenezaji wa juice (cocktail) ya rosela

    Mimi yangu hupenda kuchanganya rosela na ukwaju ulioiva pamoja na tangawizi na ndimu hua na ladha nzuri sana chemsha rosela na ukwaju kidogo pamoja acha ipowe kwa muda kisha chuja weka maji kulingana na concentration unayotaka weka maji ya ndimu kiasi na tangawizi na sukari enjoy your cocktail:p
  10. Ashmina

    Natafuta soko la tikiti

    Experience yangu kwa kilimo cha tikiti: Nililima ekari moja na nusu, niligawa batch mbili katika mpando ilipishana kwa wiki. batch ya kwanza nilitoa 2.5 tones, good thing ziliwiva vizuri. Nilipeleka soko la sterio. Bad thing, aisee pale pana magumashi sana kwa madalali + matikiti yalikua mengi...
  11. Ashmina

    Biashara ya nyama,samaki & kuku kwenye hotels na Supermarket

    which region was your business based? (if I may ask)
  12. Ashmina

    Biashara ya nyama,samaki & kuku kwenye hotels na Supermarket

    Hello Cotangent, Can you please update? Did you manage to get into it? Any challenges faced when entering supermarkets and big hotels? I am planing on starting a supplying business (seafood to be specific). Kindly advise
  13. Ashmina

    Natafuta soko la tikiti

    ningependa uniunganishe na mimi mkuu natagemea kuvuna mwezi wa 9, nimetumia mbegu ya sukari f1
  14. Ashmina

    Je, ni biashara gani Mtanzania anaweza kuifanya nje ya nchi (export)?

    good thread!!! kuna haja ya kuunganisha nguvu kwa hili tuweze fika mbali kama jirani zetu. wanao export tunaweza kushirikiana sisi wengine ni wakulima
Back
Top Bottom