Mimi nimekua nikituma maombi ya kazi mara kwa mara kupitia website yao lakini sijabahatika hata kuitwa kwenye interview hata moja, na kazi zote nnazo omba ni zile zinazoendana na sifa zangu kabisa..Ndio mkuu
Binafsi mie ni wiki kama tatu ivi zimepita kuna job niliomba na last wiki tulifanya interviewMimi nimekua nikituma maombi ya kazi mara kwa mara kupitia website yao lkn sijabahatika hata kuitwa kwenye interview hata moja, na kazi zote nnazo omba ni zile zinazoendana na sifa zangu kabisa..
mpaka Nime anza kuhisi labda ni website ya ujanja ujanja tu
Mostly kazi wakitangaza halafu wakitaka uapply kupitia website yao hapo kupata sahau, ila wakiweka adress ya muajiri hizo unaweza kupataMimi nimekua nikituma maombi ya kazi mara kwa mara kupitia website yao lkn sijabahatika hata kuitwa kwenye interview hata moja, na kazi zote nnazo omba ni zile zinazoendana na sifa zangu kabisa..
mpaka Nime anza kuhisi labda ni website ya ujanja ujanja tu
NdioHivi si mpaka ulipie ndo unaona kama umeitwa au la??
sijawahi itwa hata mara moja kwa interview nikiomba kazi kupita brightermonday wala zoom miaka yote tangu nizijue hizo siteHabari zenu wanakujukwaa, samahani naomba kuuliza hivi kuna mtu aliewai kupata kazi au hata kuitwa kwenye interview kwa kupitia website ya brighter Monday?
Ukiangalia Pale Kwenye Web Yao Utaona Kuna Membership Ya Free Na Ile Ya Kulipia 9000 kwa Mwezi!Nadhani Kama Uko Free Pale Basi Cv yako Haiwafikii Mabosi Juu Ukiapply ila Kama ni member ambaye Unalipia 9000 Kila Mwezi Ungeitwa Kitambo Sana!Jamaa Wanafanya BiasharaHabari zenu wanakujukwaa, samahani naomba kuuliza hivi kuna mtu aliewai kupata kazi au hata kuitwa kwenye interview kwa kupitia website ya brighter Monday?
Kweli kbs ndugu Jose hao zoom nimatapeli wananegotiate salary wkt ajira na bado mtu anakuambia first salary nimpe yy asee matapeli pmj na hao bright MondayZoom nilipigiwa simu, baada ya kutuma CV yangu na kuanza kunegotiate mshahara, niliwaambia kiasi cha mshahara ninao uhitaji, wakaniambia watanitafuta baada ya hapo kimya.Nimeendelea kutuma zoom karibu miaka mitatu naona kimya, zaidi ya kupokea email zao za matangazo kupitia, email yangu nikajiondoa huko zoom na baadaye bright Monday naona kama wazushi, ila huwaga na apply zile wanazoweka contact zao.