Recent content by ashecknazi

  1. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania GE2025 ICC toeni arrest warrant ya huyu mtu

    Kama bado anasimamia na kulinda maslahi ya wakubwa hawezwi kukamatwa. Kama hatuna uwezo wa kumfanya chochote tuendelee kumlilia Mwenyezi Mungu, maana yezebeli Dhambi zake zimetimia mbele za Mungu.
  2. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

    Kuna mwalimu mmoja wa dini alisema uende jini mzee alikua anapita maana utembea kwa vimbunga viumbe hao wakizeeka, na akamdhuru mbwa huyo kwa kukausha sauti yake! Sikumwelewa kipindi kile alimaanisha nini kwakua elimu hiyo nilikua sinayo kabisa
  3. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

    Kuna siku kimbunga kilipita mitaa ya home, mbwa wetu akakifukuza huku akibweka sana, baadae kimbunga hicho kikatoweka,kuanzia hapo mbwa huyo akawa bubu yani habweki wala kutoa sauti yoyote mpaka mwisho wa maisha yake! Tulishangaa sana
  4. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    Kapime ukimwi pia
  5. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme Wilaya ya Kigamboni

    Habari wana jamvi, Kumekua na sintofahamu kwa wakazi wa wilaya ya kigamboni kuhusiana na kero ya kukatika kwa umeme kila siku na kila wakati kwa takriban wiki tatu au mwezi mmoja. Tatizo hili linaathiri shughuli za kila siku za kujitafutia kipato na usumbufu mkubwa kwa wakazi wa meneo haya...
  6. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mti wa mlungulungu na mruturutu

    Mwenye ufahamu atujuze tafadhali
  7. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mti wa mlungulungu na mruturutu

    Mlungulungu na mlutulutu nina tatizo la kuchanganya r na l
  8. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Kazi ya mti wa mlungulungu na mruturutu

    Kwa anaefahamu kazi ya miti hiyo tajwa hapo juu katika maswala ya tiba za asili naomba anijuze tafadhali .
  9. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Israel yaomba nafasi AU.

    The Lord Almighty, blessings over Israel
  10. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Israel yaomba nafasi AU.

    I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse; and all peoples on earth will be blessed through you. Genesis 12:3
  11. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania iPhone zote zipo. Niagize nikuletee ulipo kwa Dar na mkoani nikutumie

    Huawei mate 9 inapatikana?? Bei gani?
  12. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Kesi dhidi ya JamiiForums zaelekea hatua mpya: Asanteni watanzania, asante wana JF!

    Katika kila jitihada za kweli kwenye kuelimisha umma na kukemea uovu, Mungu wetu uhusika moja kwa moja! Babylon will not survive! Jah bless
  13. ashecknazi

    JamiiForums Tanzania Libya na Kesi ya usambazwaji wa VVU kwa watoto wachanga wapatao 400 mwaka 1998

    Habari wana jamii, Kwa yeyote Mwenye taarifa zaidi walizochukulia wauguzi hawa wenye asili ya Bulgaria baada ya kuukumiwa Adhabu ya kifo na mahakama nchini Libya kwa kosa la kupandikiza virusi vya ukimwi kwa makusudi kwa watoto wachanga wa kilibya zaidi ya 400 Ila baadae WHO na nchi ya...
Back
Top Bottom