Libya na Kesi ya usambazwaji wa VVU kwa watoto wachanga wapatao 400 mwaka 1998

ashecknazi

Member
Aug 26, 2017
15
9
Habari wana jamii,
Kwa yeyote Mwenye taarifa zaidi walizochukulia wauguzi hawa wenye asili ya Bulgaria baada ya kuukumiwa Adhabu ya kifo na mahakama nchini Libya kwa kosa la kupandikiza virusi vya ukimwi kwa makusudi kwa watoto wachanga wa kilibya zaidi ya 400 Ila baadae WHO na nchi ya ufaransa kupitia Waziri wake Mkuu aliwakingia kifua kwa vigezo vya haki za binadamu na kuomba wakashitakiwe Nchini Ufaransa. wauguzi hawa wanye asili ya Bulgaria pamoja na daktari waliopandikiza virusi vya ukimwi kwa makusidi kwa watoto hao katika hospital ya El-Fatih children's Hospital benghazi, Libya! Watoto Wapatao 58 wameshafariki mpaka kufikia mwaka 2007.
 
Walikua wanatengeneza soko la ARV na inawezekana walifanya kwingine wakafanikiwa sana hasa Africa.
 
Back
Top Bottom