Israel yaomba nafasi AU.

Israel yaomba nafasi AU.

Na kwanini hao waarabu wakubali kuchonganishwa wakati Ni wafuas was dini ya kweli? Kwanini wakubali kuchonganishwa Na kuuwana hovyo hovyo wao kwa wao. Kwanini hao waarabu wasiwachonganishe waisrael wauwane wenyewe kwa wenyewe???
Hawana akili. Wanauana kwa sababu ambazo hata mjinga hawezi kukubali
 
Nijuacho mimi kupitia maandiko pia,wa Israel halisi hawapo pale Israel..yale ni mazungu fulani tu chonganishi yenye kuleta vita duniani.siku mu Israel atakapotaka kurudi nchini mwake kutatokea mgongano mkubwa sana wa dunia na atafanikiwa kurudi kutoka utumwani mwa hao hao wazungu wajanja na hapo hutasikia tena taifa lenye nguvu zaidi ya Israel,si leo wala kesho ila siku hiyo yaja.hao kina Nentanyahu wala siyo wa Israel hata kidogo.wapo kimkakati tu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Yale n maashkenazi yaliyoadapt uyahud karne ya 10.....wayahud wenyew bado wao utumwani nbaadh ndo hao wanaouzwa Libya
 
I will bless those who bless you, and whoever curses you I will curse; and all peoples on earth will be blessed through you. Genesis 12:3
 
Duu hawa jamaa nawaogopa xana,huwa wanadai mungu ni wa kwao sie wa mataifa mengine ni sawa na watoto wa jiran waliodanganywa machungwa ili mtoto mhusia aone wivu
 
ivi ni nani asiye mteule mbele za Mungu mpaka israeli pekee ndo awe taifa teule? hivi uko makanisani mnajazwa upumbavu gani linapokuja swala la israel? je hamjasoma kwamba mambo hayo yaliwapata kwa mfano ili yawe fundisho kwetu. sadaka ya Yesu iliondoa maupuuzi yote yalikuwa yakichukuliwa kwa namna ya kimwili na fikra mgando juu ya taifa la israel, na kumpa kila mtu nafasi ya uteule mbele za Mungu ndo maana katika agano jipya tunahukumiwa rohoni si kwa matendo ya mwilini kama ilivyokuwa zaman.

soma biblia tafakari omba Mungu utafunguliwa katika utumwa wa kujiona wewe si mteule mbele za Mungu na israel kuwa mteule pekee

NB: Ajiofikirivyo/ajionavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo- soma mithali utaikuta
 
Wapewe tu nafasi, halafu tutaona fitna watakayoitengeneza. Leo tunaona wamerekani na jeuri zao zote. Waliwakaribisha hawa watu sasa tunaona jinso walivyoitawala hiyo nchi mgombea uraisi kwanza ni lazima awaangukie wayahudi kuwaomba baraka zao wakimkubali anashinda kwa maslahi yao.
 
Wengi humu,washabiki wa Israel,hawajui kiingereza,hii habari hawatailewa.Watafikiria ni matangazo ya biashara.Wakati waafrika wanatimuliwa Israel hawatakiwi.
Mkuu huu ni uchochez wa kiwango Cha Expansion joint
 
Hivi nyie kuna watu wakatili kama waarabu??? Hiki wanachofanyiwa Waafrika huko libya hamkioni??? Tena wengi wao ni Waislamu.... huu ndio ukatili wa waarabu

Waafrika tuwa na akili ni miaka yote baada ya Gaddafi hiyo ndio ilikuwa njia kuu bila wasiwasi. Huo mtandao wa kuwauza na kuwanyanya waafrika umetengenezwa na majasusi wa European Union kuharibu njia kuu ili wasipitie ambapo wameshindwa kupamudu. Biashara ya kuvusha wahamiaji ilikua ni kubwa na mslahi zaidi kuliko hiyo ya utumwa.
 
mjinga hajijui... mkuu hachana nae... una poteza muda, kuna wengine wakiona gari wanasifia kwa uzuri wake lakini hawajui nyuma ya pazia au ukifikiria zaidi material zilizo tumika na wapi zinatoka nk... na wamiliki wake ilikuwaje wakafikiria yote hayo wakaja na wazo....

ni kupoteza muda kuzungumza na mjinga
 
Amini unachoamini ndugu.....usitake kupangia watu cha kuabudu na kukiamini .....kila mtu ana maamuzi kuchagua
unaweza kuwa hujui unachokiabudu....
you need a spiritual lesson black man
you hve been lied to long enough
 
Nijuacho mimi kupitia maandiko pia,wa Israel halisi hawapo pale Israel..yale ni mazungu fulani tu chonganishi yenye kuleta vita duniani.siku mu Israel atakapotaka kurudi nchini mwake kutatokea mgongano mkubwa sana wa dunia na atafanikiwa kurudi kutoka utumwani mwa hao hao wazungu wajanja na hapo hutasikia tena taifa lenye nguvu zaidi ya Israel,si leo wala kesho ila siku hiyo yaja.hao kina Nentanyahu wala siyo wa Israel hata kidogo.wapo kimkakati tu

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
Wa Israel halisi wako wapi?.Je hawa wa sasa hii culture ya kiyahudi walifundishwa na nani?.Waliijuaje dini ya kiyahudi wakiwa huko Ulaya?
 
Netanyahu huyu huyu anayetoa matamshi ya dharau kwa waAfrika? Ambaye amewaweka wahamiaji wa KiAfrika kwenye concentration camps?
 
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu

WAZIRI Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amesema, nchi hiyo inakuza uwepo wake na kuzidisha uhusiano na Afrika kwa kuwa ina imani na hali ya baadaye ya bara hilo na inalipenda.

Alisema angetamani kupata nafasi hata ya kuwa mwangalizi ndani ya Umoja wa Afrika (AU) akisisitiza kuwa Israel inaweza kuboresha maisha ya watu popote, lakini kwanza barani Afrika na kuongeza kwamba katika kufanikisha hilo, Israel inafungua ubalozi jijini Kigali, Rwanda.

Kwa sasa Balozi wa nchi hiyo anaishi Ethiopia akitoa huduma za kidiplomasia kwa nchi za Rwanda, Burundi na Ethiopia. Mwaka 2015 Rwanda ilifungua ofisi ya Balozi jijini Tel Aviv, Israel.

Waziri wa Nchi, Mambo ya Nje, Ushirikiano na Mambo ya Afrika Mashariki wa Rwanda, Olivier Nduhungirehe alisema, kufunguliwa kwa ubalozi wa Israel jijini Kigali kutaimarisha uhusiano baina ya nchi hizo.

Kwa mujibu wa Waziri huyo, ubalozi huo huenda utafunguliwa Juni- Julai mwakani. Kwa mujibu wa Waziri Nduhungirehe, pamoja na mambo mengine, ubalozi huo utaongeza fursa kwa wafanyabiashara wa Rwanda na Israel.

Waziri Nduhungirehe alisema ubalozi huo pia unatarajiwa kuwezesha kuanzishwa kwa safari za ndege kati ya Kigali na Tel Aviv. “Israel na Rwanda zimekuwa na uhusiano mzuri na zimeshirikiana kwenye mambo mengi.

Uamuzi wa kufungua ofisi umefanywa wakati mwafaka na utakuza ushirikiano,” alisema. Novemba 28 mwaka huu, Netanyahu alikwenda Nairobi, Kenya kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Uhuru Kenyatta na alizungumza na wakuu mbalimbali wa nchi za Afrika.

Wakati akizungumza kwenye Ikulu ya Kenya alisema, Israel iliomba kupewa hadhi ya kuwa mtazamaji kwenye Umoja wa Afrika (AU) kwa kuwa inataka kufanya kazi na Afrika.
.
Israel ya zamani ilikua hivi
Hesabu 23
9 Kutoka kilele cha majabali namwona; Na kutoka milimani namtazama; Angalia, ni watu wakaao peke yao, Wala hawatahesabiwa pamoja na mataifa.
Ila ya sasa iko hivi,
Hosea 4
16 Kwa maana Israeli ametenda kwa ukaidi, kama ndama mkaidi; sasa je! Bwana atawalisha kama mwana-kondoo katika mahali penye nafasi!

17 Efraimu amejiungamanisha na sanamu; mwache.
 
Yale n maashkenazi yaliyoadapt uyahud karne ya 10.....wayahud wenyew bado wao utumwani nbaadh ndo hao wanaouzwa Libya
Acha porojo zako za vijiweni,nyie ndio huwa mnajiadanganya eti wayahudi ni weusi.Wewe makabila yote 12 ya Israel unawajua walikuwa na rangi gani?.Hakuna myahudi aliye utumwani hata mmoja sasa hivi.Acheni porojo.
 
Waafrika tuwa na akili ni miaka yote baada ya Gaddafi hiyo ndio ilikuwa njia kuu bila wasiwasi. Huo mtandao wa kuwauza na kuwanyanya waafrika umetengenezwa na majasusi wa European Union kuharibu njia kuu ili wasipitie ambapo wameshindwa kupamudu. Biashara ya kuvusha wahamiaji ilikua ni kubwa na mslahi zaidi kuliko hiyo ya utumwa.
Ujinga mwingine huu,Yaani miafrica bana hovyo kabisa.Yaani muuzane wenyewe halafu mnasingizia European Union,Ni kwa nini wasiuzwe walibya ambao nchi yao imebaki magofu,mje muuzwe nyie weusi mnaokimbia kwenu.Hebu kila mmoja abaki nchini kwake uone kama huo uonevu hautakoma?.Biashara ya utumwa Libya ni ujinga wa kiafrica tu,hakuna cha mzungu wala nini.Badilikeni,kaeni nchini mwenu piganeni na maisha muone kama mtauzwa hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom