Recent content by ashakum

  1. A

    Serikali sasa ijifunze toka Tigo kwa wanaovujisha siri zake nje

    Kama wafanyakazi wa TIGO wamefukuzwa kazi kwa kutoa siri za wateja, maana yake ni nini? Kwahiyo ni kweli kuwa wakina RAMA IGONDU na wenzake ndio waliomteka Ulimboka? Kama siyo serikali kwanini isitoe ushahidi mbadala? Nawashangaa waandishi wa habari walipoongea na JK siku ile kwanini hawakuuliza...
  2. A

    ndugai..;‘Msiandike mabaya tuuu, andikeni mazuri pia’

    Nyuma ni lini ambako hakukuwa hata na jembe la kukokotwa na ng'ombe Ndugai? Hukumbuki wakati wa siasa ni kilimo kila kijiji kilipatiwa trekta hapa nchini tena ilikuwa miaka ya 70 na 80. Zamani ipi hakukuwa na matrekta? Hayo matrekta 400 ya nani kama sio ya watu walioiba hela benki kuu na kuamua...
  3. A

    ndugai..;‘Msiandike mabaya tuuu, andikeni mazuri pia’

    Hata wewe mwandishi wa habari hii una matatizo. Wewe umeona hii ni habari ya kuandika? Umeacha habari za maana unaandika hii? Ndugai ndumila kuwili, pia ni mchumia tumbo tu huyo. Hukumbuki alisema zarau zenu huko huko? Ni mazuri gani anayoyaona yeye yatauza magazeti yakiandika? Wewe hujui maana...
  4. A

    Kwa wabunge wa ccm, chadema na spika wa bunge la jamhuri ya tanzania

    Ombi kwa wabunge wote makini bungeni wafanye yafuatayo bunge lijalo la Bajeti. 1. Wajadili kwa kina kuhusu masuala ya profesa Mlacha wa UDOM kwani inaonekana anaendelea kusumbua watumishi na wanafunzi wa chuoni pale. Yeye anafanana sana na Blandina Nyoni wa Wizra ya afya. 2 Wajadili taarifa...
  5. A

    Wizi wizi mkubwa wa airtel kwenye moderm zao za promotion.

    When are you going to do this? Please do it now and whenever it happens. Do not wait until things worsen even further. I am also a customer at airtel. I have experienced this kind of trouble. When I contacted hao mabwana walishindwa kunijibu. Ni tatizo. Mambo haya ni kama yanavyotokea kwenye...
  6. A

    Sitaki kuamini, Dk Chami, alikuwa Tanzania one, mara mbili?!

    Au hujawahi kuona mwalimu wa madrasa akilawiti watoto anaowasomesha?
  7. A

    Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

    Nimekumbuka. Mwigulu alikuwa meneja kule Arumeru, Magamba yamepoteza. Sasa kwani Mwigulu alikuwa peke yake kule? Wakina Mkapa je watafanywa nini? Haya hao wanaoiba serikalini watafanywa nini? Haya wenye Kagoda nao watafanywa nini. Hongera Dr. Shein kwa umakini unaotufanyia. Lowassa troti...
  8. A

    Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

    Nimekumbuka. Mwigulu alikuwa meneja kule Arumeru, Magamba yamepoteza. Sasa kwani Mwigulu alikuwa peke yake kule? Wakina Mkapa je watafanywa nini? Haya hao wanaoiba serikalini watafanywa nini? Haya wenye Kagoda nao watafanywa nini. Hongera Dr. Shein kwa umakini unaotufanyia. Lowassa troti...
  9. A

    Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

    Haaaaah! Tatizo kuuuubwa CCM ni Kikwete mwenyewe. Kwani Mwigulu, Chiligati wamekosa nini? Mnataka kupika maharage ya Mbeya kwenye Chungu mnafikiri yataiva haraka? Kama mpishi ni tatizo hata ukimpa nini hataweza kupika. Kinana anaenda kujiharibia kama anavyojiharibia Nnape. Nnape nenda CHADEMA...
  10. A

    Wabunge washauri siasa vyuoni zipigwe marufuku...

    NNACHOJUA MIMI NI KUWA SIASA VYUONI IMEPIGWA MARUFUKU. Lakini tumemwona Nnape, kijana wanayemtoa kafara chama cha Magamba yuko na wanavyuo wa vyuo vikuu Dar. Hili sio kosa? Kuna mwanangu anasoma kule UDOM alinipigia simu kuwa kuna wenzao wamefukuzwa chuo kwa kukutwa kwenye ice na skafu za Chama...
  11. A

    Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

    Nnape ni bonge la mwanasiasa. JK hajui tu. Ningeweza ningemfanya Nnape awe mwenyekiti wa CCM, January Katibu Mkuu. Hapo CCM ingesonga.
  12. A

    Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

    Mbona Udom wamefukuza madent kwa kukutwa na skafu za chama cha wapiga kazi Chadema? Magamba INAKERA SANA. Wameshinikiza wakuu wa vyuo kusabotage Chadema vyuoni. Ila ni nguvu za giza tu, hawaiwezi tena Chadema.
  13. A

    Elimu ya Tanzania na Education for ignorance! Kweli hawa nao ni wasomi au makapi?

    Siasa vyuoni si zimezuiwa? UDOM wamewafukuza wanafunzi kwa kosa hilo.
Back
Top Bottom