Kamati Kuu CCM na Uongozi mpya, habari mpya

na malengo yaomakuu ni kushinda uchaguzi 2015 na sio maendeleo, naona akili zao mda wote wanawaza kutawala tu nahisi bora enzi za mkoloni.
 
Sidhani aisee. Wanaharibu tu. Wanamweka Nape ili apunguze usumbufu dhidi yao. Meghji alishindwa katika kila idara siku zote.
 
wanajenga vizuri sana yaani hapo ndiyo wako vizuri mambo yanaenda sawasawa, vichaa wanaongozana
 
Haaaaah! Tatizo kuuuubwa CCM ni Kikwete mwenyewe. Kwani Mwigulu, Chiligati wamekosa nini? Mnataka kupika maharage ya Mbeya kwenye Chungu mnafikiri yataiva haraka? Kama mpishi ni tatizo hata ukimpa nini hataweza kupika. Kinana anaenda kujiharibia kama anavyojiharibia Nnape. Nnape nenda CHADEMA mwanangu utaona utakavyoheshimika. Umekwisha nifehemu mambo yako yatanyooka wenye mtoto. Huku sisi tumishaiua CUF twaitaka CHADEMA sasa itukomboe.
 
Nimekumbuka. Mwigulu alikuwa meneja kule Arumeru, Magamba yamepoteza. Sasa kwani Mwigulu alikuwa peke yake kule? Wakina Mkapa je watafanywa nini? Haya hao wanaoiba serikalini watafanywa nini? Haya wenye Kagoda nao watafanywa nini. Hongera Dr. Shein kwa umakini unaotufanyia. Lowassa troti wanakusafishia njia hao.:lalala:
 
kumbe kauli imetimia,chama kinabomoka kwa kasi ya ajabu aheri enzi za makamba
 
Back
Top Bottom