Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

Wameishiwa Boom hao!yaan inasikitisha kuona msomi anadanganywa kwa msosi wa 2000 kama bibi/babu wa kijiji!Mapinduzi this time yataanzia vijijini na siyo mjini!
 
Inatia aibu kwa kweli...
kuna kama vijana kumi hivi wameandamana eti kuunga mkono jitihada za serikali za JK kupangua baraza la mawaziri na kupokelewa na Vuvuzela la ccm Nape
Kwa harakaharaka ukiangalia ni kama kichekesho lakini vilevile ni aibu kwa vijana kuandamana kupongeza wajibu wa mtu! hawaoni kama huyo Jk ndiyo kikwazo kwa utendaji na ustawi wa nchi hii na ni aibu kwa yeye kuteua watu ambao mwisho wake wanakuwa waizi wa rasilimali za nchi hii!
Shame on you vijana kama kmi mlioandamana!
Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.
 
Wanataka CCM iwajue ile wakitoka chuo wawe wakuu wa wilaya, mikoa na wakurugenzi wa miji, nk.
Wanajua siku hizi uongozi ni kujuana, na bila kuwa CCM hakuna utajiri wa fasta fasta.
Siku hizi ajira zote serikalini na zinaratibiwa na kugawiwa na ofisi ya rais, na wenye kipao mbele ni wanaCCM
 
Nnape ni bonge la mwanasiasa. JK hajui tu. Ningeweza ningemfanya Nnape awe mwenyekiti wa CCM, January Katibu Mkuu. Hapo CCM ingesonga.
 
Sina hakika kama hao wanasoma kweli au wanapita hapo ili wapewe vyeo
 
hao mafala ukiangalia uwepo wao hapo chuoni utaona lazima kuna mkono wa mtu,hawawezi wakawa wanatoka kwenye zile za akina kayumba.chuo gani kwanza hicho hebu tujuze,huku mwanza hatuna hao mafala
 
Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.

Kwa maneno haya ulioleta humu inaonekana wewe sio mstaarabu na ni mtu usiyefaa.
 
Hao ni wapiga debe wamesombwa na malori na kupewa elfu 5

Hata wapiga debe hawawezi kufanya hicho kitu na sijui hao watu tuwaweke kundi gani labda watakuwa uzao wa hao hao mafisadi
 
Yani nyie wanacdm mnapiga kelele kila siku kuhusu demokrasia lakini akija mtu akawa tofauti na nyie basi lazima mtoe uharo, ni haki yao hao vijana kuandamano,tena bora hata hayo maandamano yana maana kuliko maandamano yenu ya kila siku.
 
Mbona Udom wamefukuza madent kwa kukutwa na skafu za chama cha wapiga kazi Chadema? Magamba INAKERA SANA. Wameshinikiza wakuu wa vyuo kusabotage Chadema vyuoni. Ila ni nguvu za giza tu, hawaiwezi tena Chadema.

Ilopo wamfukuze mwizi kimyakimya
 
Ni chuo gani walioandamana,nimeona ni kama ka comedi flani hivi,Nape mwenyewe kavaa ile ya Joti aiyefulia! kama uenezi ndo huu,kazi ipo
 
inatia aibu kwa kweli...
Kuna kama vijana kumi hivi wameandamana eti kuunga mkono jitihada za serikali za jk kupangua baraza la mawaziri na kupokelewa na vuvuzela la ccm nape
kwa harakaharaka ukiangalia ni kama kichekesho lakini vilevile ni aibu kwa vijana kuandamana kupongeza wajibu wa mtu! Hawaoni kama huyo jk ndiyo kikwazo kwa utendaji na ustawi wa nchi hii na ni aibu kwa yeye kuteua watu ambao mwisho wake wanakuwa waizi wa rasilimali za nchi hii!
Shame on you vijana kama kmi mlioandamana!

kwa hiyo wewe ulitaka waandamane kupinga jk asivunje baraza la mawaziri???????????ukisikia siasa za maji taka ndio hizi zako
 
Njaa ni mbaya sana..sasa watu wakisema wanampongeza kwa kipi? hivi hawa wanaishi hapa hapa Tanzania ama wako nchi zingine?!! acheni njaa zenu hizo zinaliangamizza Taifa hili..manafiki hataona Ufalme wa mbinguni
 
Mimi ninashindwa kuelewa hivi kila mtanzania ni lazima aipende Chadema? Maana nimeona post zote mtu akiwa tofauti na Chadema basi atashambuliwa kwa matusi,kebehi na kila neno la dharau jamani wanabodi mfumo wa vyama vingi unaturuhusu kutofautiana kwa hoja bila kupigana,hivi mtu akieleza hisia zake kuwa anaipenda CCM basi liwe ni kosa? Tujifunze kuwa wavumilivu ikiwa mmoja wetu hapendi kile wanachokipenda watu wengine! Na hakuna haja ya kuitana majina yasiyofaa inaonekana watu hawako tayari kufanya siasa za kiustaarabu tujirekebishe.
Hilo si tatizo. Ila watu ndo wanashangaa wasomi gani wasio jitambua? Unampongeza kikwete kwa lipi? Hilo baraza kaliunda yeye likihalibu wa kwanza kuwajibika lazima awe yeye leo unampongeza baada ya wananchi kupiga kelele bila hivyo angepotea tu.
 
Watu wenye ndiyo hawa?huyo dogo pembeni ya Nape uwaanauza sura kwenye kipindi cha malumbano ya hoja ITV mchumia tumbo tu hana lolote amewakusanya wenzake wenye njaa na boom limekata!
4 (1).jpg
Maswali ya Msingi!
Hayo maandamano au matembezi yalikuwa yana ujumbe gani? Na Je hayo Mabango waliobeba huo ujumbe wanampa nani wakati wao ndiyo wenye serikali? Kwanini wasitumie mikutano au vikao halili kufikisha ujumbe?au ndiyo wameishiwa vitu vya kufanya?
CCM hamuwezi kurudisha mvuto kwa Jamii kwa upuuzi huu!
 
Back
Top Bottom