Elimu ya Tanzania na Education for ignorance! Kweli hawa nao ni wasomi au makapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya Tanzania na Education for ignorance! Kweli hawa nao ni wasomi au makapi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpayukaji, Apr 29, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [​IMG]Hilo ni bango mojawapo kati ya yale yaliyobebwa na wanaoitwa wasomi wa vyuo Tanzania! Inasikitisha licha ya kukera. Je hawa ni wasomi kweli au waganganjaa wanaoweza kutumiwa na fisadi yoyote awe mtu au chama kufikia malengo yake. Usomi maana yake ni uasi siyo ukondoo, ukuku wala upunda.
   
 2. Lyceum

  Lyceum JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 1, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 265
  Trophy Points: 80
  Mkuu hawa vijana vijana wana haki kikatiba ila inasikitisha kwamba wapo kusikostahili. Nadhani ni njaa tu zinawasumbua hawa vijana wetu. Nadhani wanamaanisha kuwa wale waliohama ccm ndo magamba. Kama ndivyo nadhani wanakosa uelewa maana hakuna ushahidi kuwa ni magamba na wala hakuna vithibitisho. Kwa kuwa ni falsafa ya wachache kuwa kila anaehama ni gamba basi ha hawa vijana wamo kwenye huo mkumbo wa kuchafua wengine kwa majibu mepesi.
   
 3. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kusoma na kupata elimu ni vitu viwili tofauti. Unaweza ukasoma na usipate elimu, si unakumbuka mwaka 2010 kule UDOM baadhi ya wanachuo walichangishana pesa ili kumsaidia JK achukue fomu ya kugombea urais baadae kidogo wakaanza kuandamana kudai mkopo wakaambulia mabomu. Kweli funzo la mjinga ni tabu.
   
 4. a

  ashakum Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa vyuoni si zimezuiwa? UDOM wamewafukuza wanafunzi kwa kosa hilo.
   
Loading...