Recent content by Asante my

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mbeya VS Morogoro: Wapi panazidi mwenzake kwa Uzuri, Fursa na Maendeleo?

    Duuuuhhh....umetuonea wasagara
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Samir wa Kinyulinyuli yuko wapi?

    Yupo Kwao KIMAMBA KILOSA MOROGORO,,,WANAPOTOKEA PIA DOKII,,TINI WHITE NA RICH MAVOKO....Hao wote ni Wana Moro
  3. A

    JamiiForums Tanzania Palestina ni wahanga, Iran na Israel hawachekani, ila Marekani wapewe maua yao

    Wanarusha Hawa watu.....Iran hajielewi kabisa na Nina Imani Hana taasisi nzuri ya ujasusi.....na kikubwa ni kwamba inaonekana MOSSAD ni wengi sana Iran
  4. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mgombea Urais wa CCM 2030 lazima awe kijana with zero corruption status. Je, ni nani kati ya hawa?

    Tukumbuke pia kwamba ni ZAMU ya Wakatoriki
  5. A

    JamiiForums Tanzania Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Hongera sana ndugu Kwa kujaribu kututajia baadhi ya Miji inavyokua Kwa haraka.....naomba nikueleweshe kitu kuhusu KIDATU......katika wilaya ya Kilosa ambayo mimi ni Mzaliwa wa hapo hakuna Mji unaoitwa KIDATU....Bali KIDATU hipo wilaya ya KILOMBERO na si KILOSA....Mji unaousema wewe unaitwa Mji...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi na walimu ni kama maadui

    Hoya broo...huyo Mwl Mlekwa sio yule aliyekua shule ya Msingi Azimio Mwanza....kama ndo huyo nami kanibonda sana yule Mwamba na TABIA yake yakupiga fimbo madirishani.....Mwenyezi Mungu ampumzishe Kwa amani
  7. A

    JamiiForums Tanzania Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Hupo very right Mwamba.....kama LOWASA angekua RC ni lazima tu angekua rais kabla ya JPM.....Mfumo wetu ni Bakwt na RC, ata iwe vipi.....na 2015 ilikua ni ZAMU ya RC....kumbuka ata Samia alivyochukua Uraisi....ilikua ni lazima makamu wake atoke RC....
  8. A

    JamiiForums Tanzania Taifa limechelewa sana kumtumia Upendo Peneza, anafaa kuwa Mkurugenzi, Mkuu wa Wilaya, au mtaalamu mkubwa sana serikalini au balozi

    Upendo Peneza...nimesoma nae Mwanza Baptist pale Kona ya Bwiru....alikua kichwa hatariii huyu dada
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimefika Newala salama

    Karibu Newala ndugu,,wenyeji tupo hapa,,,leo ulienda Newala Pazuri..kesho elekea Big brother...baa Moja matata sana na bata mzinga kama wote....husisahau kuondoka na korosho Original kutoka hapa Newala....zilizookwa ambazo ni brown kilo Moja ni elf 13 tu.....ukiitaji kampani yangu kama ntakua...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM kukaimiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara, Anamringi Macha. Ni bada ya Chongolo kujiuzulu

    Chongolo mtu wa Tiss, hatari saana
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Balozi Mpya wa Marekani Nchini Tanzania amtembelea Joseph Mbilinyi

    Ata ccm wangekua wapinzani nao,wangewapigania wananchi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Maamuzi mazuri...tutakufuata
Back
Top Bottom