Recent content by asante mbagule njehani

  1. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Lipo maeneo gani hlo shamba mkuu,
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sahihisho: Ni uongo mtupu kuwa mwanamke anapenda kuliko Mwanaume!

    Duuuuh[emoji119][emoji119][emoji119]
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Mkuu tatizo mtaji.napenda sana kuwekeza ktk kilimo.kilimo kinahitaji investment ya kutosha,
  4. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Sorry mkuu,typing error ,
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwa kada ya kilimo na mifugo

    Habari.Mimi in kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26 ninaitwa Asante Mbagule Njehani kabila langu ni Mpogoro. Natafuta kazi yoyote inayohusiana na taaluma yangu KILIMO NA MIFUGO.nimesoma general agriculture na nimefuzu katika ngazi ya astashahada na stashahada kwa muda wa miaka mitatu...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Ha ha ha ha ha jamani nimefurahi mie,
  7. A

    JamiiForums Tanzania Taja mnyama mwenye jina la umoja na wingi

    Bundi-vyundi
  8. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za jiji

    Kuwe na bahari,beach,ziwa au MTO,,,,,
  9. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni ukatili

    Malipo ni hapa hapa duniani,,usaliti unauma sana,
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    ha ha ha ha nimefurahi kwa kweli,,
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi next Mary Tanzania limited

    Kwa Dodoma mnapatikana mtaa gani? Nipo dodoma nimesoma general agriculture nimemaliza 2016 so naweza nikapata hyo fursa kwa Dodoma?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Azam company limited zimetoka tuma maombi

    Samahanini jamani kwenye hyo application form upande wa CV wanaandikaje????
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Azam company limited zimetoka tuma maombi

    Ngoja nichangamkie fursa hii,,,
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu wa zamani anataka tuwe marafiki wa karibu baada kuachana

    Duuh kumfanya mpenzi wko wa zamani kuwa rafiki yko ni sawa na kuchukua muwa na kuufanya fimbo y kutembelea na pale utakaposikia njaa au kupata hamu utauchukua fasta na kuula muwa ule
Back
Top Bottom