Wanawake punguzeni ukatili

Wanawake punguzeni ukatili

Mungu mimi nitakua mpweke mpaka lini? Haw wanawake nitarara nao mbere kwa mbere! Sitaki ujinga huo,ni kupiga chini tu
 
Sasa msmimi30 unahisi hapo tunasemaje ,umesoma naww umeielewa vzuri ,hapo unaonaje ??



Alafu unajita Miss Mimi ..iyo 30 inamaanisha mtu akumis mara 30 kwa siku !! .....mimi nmeshakumis mara 21 mpaka kufikia muda huu.
hahahah malizia hizo 9 ukamilishe, nimesoma naona mapicha picha tu tattoo mbili za majina ambayo si ya mumeo jamani inawezekanaje story zingine waumize kichwa kidogo maana wanasimulia watu wazima
 
hahahah malizia hizo 9 ukamilishe, nimesoma naona mapicha picha tu tattoo mbili za majina ambayo si ya mumeo jamani inawezekanaje story zingine waumize kichwa kidogo maana wanasimulia watu wazima
Ndomaana sikutaka upite hapa ,maana ukishapita tuu hata ninavyokumis hivi utaona nafanya kazi bure .

Nashukuru mbingu na ardhi mpaka sasa nipo ktk mmiso wa 27 bado tatu !!!! Siku niimalize ,i miss you
 
Christopher amevuta ndani dada poa anayecheza movie za ngono.

Hii Chai ya moto kweli lakini tena kavu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kuchepuka Sawa???? Why sawa?
Sikumaanisha kuwa kuchepuka ni sawa. Story yake haina uhalisia, inawezekana ni kweli amechepuka lakini haiwezekani mke akachora tattoo za michepuko yake miwili. Haiingii akilini!
 
Back
Top Bottom