Nafasi za kazi Azam company limited zimetoka tuma maombi

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Uongozi wa AZAM unayofuraha kuku fahamisha wewe mtanzania kwamba.nafasi za kazi zipo,unachotakiwa kufanya ni kutuma maombi yako tu.
SIFA ZA MUAJIRIWA
1.muajiriwa awe amesoma au haja soma wote watapata kazi ila mshahara utatofautiana pamoja na wadhfa.
Muajiriwa aliyesoma atatakiwa awe na cv pamoja na maelezo yote kuhusu elimu yake mfano:mahala alipo somea na kadhalika.
Mshahara ni maelewano.
Maombi yote yatumwe kwenye tovuti hii
NAFASI ZA KAZI AZAM COMPANY ZIMETOLEWA. - NAFASI ZA KAZI
Mshirikishe na mwenzako mwisho wa maombi tarehe 22 mwezi huu
 
Job Application - Azam Bakhresa GroupAzam Bakhresa Group
 
Mbona tumekua matapeli bila huruma, website ya bakheresa Group haina ajira yoyote although huwa wameweka option siku zote yakuweka taarifa zako incase siku wakihitaji mtu na kwa hili sahau kuitwa.
 
Vijana WA Lumumba wanapunguza attention za tarehe 26 April... Yaaani siku ya muungano
 
  • Thanks
Reactions: vvm

Similar Discussions

Back
Top Bottom