asante mbagule njehani
Member
- Nov 27, 2017
- 29
- 17
Habari.Mimi in kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26 ninaitwa Asante Mbagule Njehani kabila langu ni Mpogoro.
Natafuta kazi yoyote inayohusiana na taaluma yangu KILIMO NA MIFUGO.nimesoma general agriculture na nimefuzu katika ngazi ya astashahada na stashahada kwa muda wa miaka mitatu,
Ninauzoefu wa kutosha katika kilimo na MIFUGO,ninajuhudi,nidhamu na bidii ktk utendaji wa kazi.
Nipo tayari kufanya kazi mkoa wowote na wilaya yoyote.pia nipo tayari kufanya kazi na MTU binafsi,shirika binafsi,kampuni au hata taasisi binafsi.pia ninauzoefu wa kutosha wa kompyuta kwa uthibitisho naambatanisha nakala za vyeti vya matokeo(Partial academic transcript).
Kwa yeyote mwenye kunihitaji tuwasiliane kwa namba 0753887871 napatikana Dodoma.
Ahsanteni
View attachment 887660