Recent content by ARV

  1. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mashabiki wa Man U muda huu
  2. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Viko vitimu vitatu vinaanzia na herufi B 1. Brighton 2. Brentford 3. Bournamouth Hizi lazima zikuchane chane. Lakini huyu arteta wa leo katia aibu sana 😂😂
  3. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Tupe matokeo KENGE nyie 😂😂 Naona mme-dominate leo
  4. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  5. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  6. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna mjinga mmoja wa hii timu atabisha.
  7. ARV

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Harrier anaconda inauzwa bei kitonga

    Hujajua magari wewe
  8. ARV

    JamiiForums Tanzania Kwenu Madalali wa magari kuna mdogo wangu ana 15m cash hapa anataka gari yake ya kwanza ili apate siti kwenye meza ya wakubwa zake akina sie

    Kwani ukisema ni wewe unahitaji hiyo gari utakufa? Eti "mimi sinunuagi used za tz".
  9. ARV

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mtanzania, umevuka miaka 35 na huna Passport upo kwenye list ya watu maskini

    Ahaa, kumbe kuwa na passport ni utajiri! Kumbe na mimi ni tajiri, sikujua. Ngoja waje wale Wakinga wenye magorofa kama uyoga pale Kariakoo tuone kama wana passport.
  10. ARV

    JamiiForums Tanzania Wanaume unaweza kudate na mwanamke above 25 years ambaye hana kazi wala chochote anachojishughulisha nacho?

    Tafuta hela, mwanamke hatakiwi kufanya kazi.
  11. ARV

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaogopa kufa?

    Kwa sababu wanaogopa kufa. Bata wahed!
  12. ARV

    JamiiForums Tanzania Zingatia mambo haya kila unapoingia saloon kunyoa ama kusuka

    Nyie mliokulia vijijini mkija mjini mnatuletea visheria vyenu vya kujinga. Miaka yote tunapiga para kichwa hakuna cha fangas wala mba.
  13. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yaani Martinell ndio mchezaji wako wa kukushindia UEFA? Mmelogwa kenge nyie hamko sawa.
  14. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  15. ARV

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Back
Top Bottom