Recent content by ArtificialIntelligence

  1. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Biashara ya mtandaoni imeibuka kuwa eneo la fursa mpya nchini Kenya

    Tanzania wanakwambia “tunaongeza bundle” “lipa $1000 kabla ya kuupload vide YouTube”. Alafu unataka tuseme Tanzania kuna watu sio mazombie? Tanzania imejaa wapumbavu kuliko hata North Korea, magepu yapo makubwa soon hata Uganda itatuacha mbali. Tutabaki na slogan The shithole of East Africa
  2. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anao wengi wa kumtetea, legacy na Watanzania

    Korona ishammaliza sijui bado anawakuna nini. Ogopa sana mtu umepumbazwa akili kiasi kwamba aliyekupumbaza hadi baada ya kifo bado unaamini upumbavu wake. Report ya CAG inatosha kuonyesha zombie lilivyokua linawakamua watanzania, mnachotetea ni kijifly over na vindege vichache vinavyotia hasara...
  3. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Najua hizo nchi zilijengeaje vizuri kuliko wewe, ushamba unakusumbua. Tatizo jiwe liliwalisha ushenzi na mlivyo vilaza mkawa mnamuona mtukufu. Mtu yeyote mwenye hata nusu ya ubongo anajua kabisa udikteta haufikishi mtu popote, unataka sample? Tanzania, North Korea, nchi nyingi za Afrika. Ovyo...
  4. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Ujenzi Bwawa la Nyerere unaendelea kwa kasi

    Kwa uongo aliotoa huyu mzee angekua nchi nyingine angekua hana kazi ila Tanzania kuna watu wanamuona mtu mwenye hekima mchapakazi. Mzee ovyo tu amejaa ego na anatumia dini kudanganya watanzania.
  5. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad: Ni wajinga tu ndio wanaonunua ndege kwa cash

    Huyu mzee presentation yake kwa wanaoelewa kiingereza ni muhimu sana kuitazama. Ameonyesha matatizo tuliyonayo waafrika exactly. Ni aibu tulikua juu ya nchi nyingi za Asia kiuchuki miaka ya 1960 leo hii tupo palepale wao wamekua haraka mno. Waafrika mmelaaniwa Tanzania ina vilaza wengi mno
  6. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Mimi Nimeshajiandaa kusikia haya. Wewe je?

    Genge la magu mna matatizo. Mkataba wa bagamoyo ushatemwa usitegemee mama kurudi kusign. Angekua anasikiliza habari za mitandaoni huo mkataba hawezi saini, na leo yule kalio anaitwa sabaya angekua ashafukuzwa. Ndege kuuzwa sio kitu kibaya, nchi haina hela na ndege zinazidi kuitia nchi hasara...
  7. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Huyu mama kuna kila dalili za yeye kukimbia game kabla muda wake haujaisha. Ngoja tuone atafanyeje, I wish atakua mstaarabu sio ka jiwe
  8. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuanzeni Kujifunza kujiandaa Kisaikolojia kwa Majanga makubwa Matatu kama haya yafuatayo....

    Kisaikolojia mbona tumejiandaa vizuri. Jiwe likisepa nanunua wine moja ya milioni 20 kusherekea.
  9. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Ni nini hatma ya January na Nape katika siasa za Tanzania?

    Kuna watu wengi tu wapo more qualified.
  10. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Tujadili mshahara wa TGS D kwa watumishi wanaoishi kwenye majiji

    Haha mshahara mdogo upo, laki tano sio mshahara ni masihara. Hata mlinzi 270k kama kajenga basi kwa hela ya ujambazi pembeni ila muongo huu huo mshahara hujengi labda kama unaongelea kajenga banda la kuku. Tuwe wa kweli maisha yamepanda.
  11. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

    Ukichezea Corona mambo kama haya hayaepukiki, show ndio kama imeanza vile
  12. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanataka Serikali ifanye nini zaidi ya kuwatahadharisha kuhusu COVID-19?

    Unalinganisha ukimwi na corona? Tumia akili, ukimwi unasambazwa kwa ngono, kufanya ngono sio rahisi kama kupumua, corona inasambaa kwa kupumua tu karibu na mtu mwenye corona, kwa hiyo corona ni more deadly, inaua zaidi ya 100% ya ukimwi. Serikali ilitakiwa ionye watu, izuie mikusanyiko...
  13. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

    Wajinga design yako mmejaa Tanzania ndiyo maana nchi inaitwa shithole. Akili zimejaa mavi tu
  14. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Hakuna mungu zote story tu za avengers zilitungwa na chizi miaka ya nyuma machizi wenzake wakafata alafu leo hii machizi wameongezeka wanaoamini huu upuuzi. Wengine tulimezeshwa huu ujinga utotoni tumekua akili zimefunguka. Mungu angekuwepo na mwingi wa upendo asingeacha ujinga huu uliopo sasa...
  15. ArtificialIntelligence

    JamiiForums Tanzania Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

    Nipo nje na maisha mazuri tu, sina mpango wa kurudi Tanzania. So hayanihusu ndiyo.
Back
Top Bottom