NG'OTIMBEBEDZU
JF-Expert Member
- Aug 11, 2010
- 1,180
- 592
Ifanye Ka ilivyofanya Machi 2020 Kwa kuweka msisitizo wa kujikinga Kwa njia mbalimbali ikiwemo level seat ndani ya mabasi.Umeelewa alichokiandika mleta uzi? Anauliza mnataka serikali ifanye kipi tofauti na kuwatahadharisha mjikinge wenyewe?
Iwakemee wale wote wanaowatolea vitisho watu wanaotoa tahadhari kwenye jamii na taasisi zao, mfano Makamu mkuu wa chuo kikuu huria.
Iwawajibishe viongozi wanaoamuru wajumbe wa vikao kuvua barakoa