Huyu jamaa vipi tena, is everything has to be tagged to chadema na Udini???? MWananchi at least linajitaihidi kua objective, na huyu jamaa anaonyesha grievance kwanini hawalisomwi na wanaishia kusoma magazeti mangine anambayo tunajua yako biased...wapi ameongelea chadema, au udini hapo. Upupu wa...