Msaada Chevrolet Cruze

arnoldmoshi

Member
Jan 6, 2011
21
1
Naomba msaada kwa anajua sehemu wanazouza spare Mpya za hii gari,

Nimekaa na hii gari kwa mda wa Miaka 2, na ndani ya miaka miwili nishatembea zaidi ya Km 100,000. Udhaifu niliyougundua kwenye hii gari ni Drive shaft ( complete ie incl CV Joints) na ball joints zinaisha sana, na nimeshareplace zaidi ya mara 3 ( both of those spares come in pair and each 300,000/=

So sijajua huo udhaifu unatoka na kutumia used spare zisizokua na guarantee au matumizi yangu ni mabaya coz nafanya service every end of the month, namaanisha zile km 3000 za matumizi ya standard oil ninakua nimeshazimaliza.

kwa hiyo mtu yeyote mwenye kujua spare mpya za hizi gari zinapopatikana anijuze.

NB. imetengenezwa na Suzuki na ipo kama Swift ila dimensions( ukubwa) wa hili gari pamoja na spare ninazozisema hapo juu zimetofautiana na swift kwa ukubwa, za hili gari ni ndefu kidogo

130227.jpg
 
Hiyo gari inaingiliana na suzuki swift, utofauti ni body tu, ni kama ilivuo ford escape na mazda tribute.
 
Chevrolet Cruze, Suzuki Swift, Maruti Swift na Dzire zote ni same model kampuni tofauti. Tofauti itakuwa kwa model year. Google aftermarket spares na uzingatie model code. Bora utumie chassis number. Kama upo Moshi spares utapata Nairobi.
 
Bora amtafute Extrovert atamsaidia.
 
Back
Top Bottom