2015 wagombea wakiwa Dr. John Pombe Magufuli vs Dr.Wilbrod Slaa utamchagua nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

2015 wagombea wakiwa Dr. John Pombe Magufuli vs Dr.Wilbrod Slaa utamchagua nani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mstahiki, Jan 21, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. m

  mstahiki JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nnaomba jibu lako uliambatanishe na Sababu za Msingi.
   
 2. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  hatuwezi kujadili hoja, docta slaa alishasema hagombei tena endapo atakosa urais 2010, sasa tutachangiaje kitu ambacho we r sure it cant happen???
   
 3. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Asante msanifu majengo!!!
   
 4. K

  KunjyGroup JF-Expert Member

  #4
  Jan 21, 2011
  Joined: Dec 7, 2009
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Simple answer in form of a question. Do we need change? I bet 70% of Tanzanians need change. Change is seeing sisiem go. Magufuli is just a drop in de ocean. If anythin he's a devil in a wolf's skin. On moral grounds he would 've resigned from de dirty party had he been a true patriot. Regea Marehem Mwanawasa alivyojiuzuru kutoka serikali fisadi ya Chiluba. Green has to go hata Mwakyembe akiwataka kuwa rais.
   
 5. R

  RMA JF-Expert Member

  #5
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa anafaa. Uchaguzi uliopita hakushindwa isipokuwa alidhulumiwa tu. katiba ibadidilishwe ili tumpe ushindi wa nguvu. Tumechoka na ccm.
   
 6. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Nyumba ikioza sana unafanya nini? Unaibomoa unajenga nyumba mpya... maana na technolijia itakuwa tayari ni mpya... uking'ang'ania kuirekebisha itakuulia ndani sikumoja
   
 7. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Magufuli ni mtendaji mzuri lakini yuko kwenye Chama kibovu ambacho hawezi kukibadili malengo yake ya kunyonya nchi! Na akidiriki kuingiza maadili ya nchi ndani ya CCM watamkolimba apotee kabisa. Hivyo watu wenye akili hatuwezi kumpa kura, kwanza kwa kupenda aendelee kuishi pili chama chake kitoke madarakani kwani kimeoza na kinanuka!

  Dr. Slaa ataendelea kuwa chaguo la watanzania kwa kuwa yeye mwenyewe ni mzalendo wa kweli na CHADEMA haijachafuka bado, inawatu makini na wakipewa nafasi watairudisha nchi kwenye malengo ya waasisi wa Taifa hili.
   
 8. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CCM hata wamwekee nani mzizi imeshaoza usitegemee kupata tunda bora.
   
 9. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #9
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  kauli za wanasiasa hizo,usiziamini sana.Sumaye alisema siasa basi,lakini 2015 ikifika,utashangaa naye anakwenda kuchukua fomu
   
 10. Mhubiri

  Mhubiri Senior Member

  #10
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 178
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  wakiweza kumkolimba Magufuli,watashindwaje kumkolimba Slaa?acha uoga na imani haba wewe!
   
 11. c

  chamajani JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pia tunaomba jibu lako je unadhani RA, NM na EL watakuwa chama gani?
   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ccm ni ccm tu hata awe pombe magufuli hawezi kuleta mabadiliko yoyote. Siwezi kutumia muda wangu kwenda kwenye kituo cha kupigia kura eti nimpigie mgombea wa ccm. Ccm imezeeka, imevimbiwa madaraka, imechoka, imekinai, inatia kinyaa, sipendi hata kuisikia. Wapenzi wa ccm wanisamehe kwa hilo.
   
 13. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  Namshauri sana Pombe asigombee hata akiombwa akatae kabisa maana uozo uliopo pale atapata shida sana kusafisha atajikuta anajuta baada kuwa shujaa hata wanaweza kumuuaa sababu ya fitna aachanane na urais kwa ccm awape hao wanaojiandaa hata kuua ili wapate hiyo nafasi!!!
   
 14. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #14
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani magufuli ya mlango wa john, kawatetea vipi watanzania? Mbona yuko kimya kuhusu dowans? Mbona bado yuku chooni ccm? Mbona bado anatembelea magari ya kifahari tena ya garama kubwa? Mbona bado anajaribu kujikosha kiutendaji ili watanzania wamuone nimzuri? Huyu magufuli wa geti la john hana lolote jipya kwa watanzania nikibaraka wa ccm. Chadema daima chagua yeyote toka chadema uone mabadiliko ya kweli.
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,621
  Trophy Points: 280
  magufuli kabariki ujenzi wa barabara ya serengeti na wala cna ham nae tena
   
 16. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #16
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wote wanafaa kwa kazi ya uwaziri mkuu sio urais.
   
 17. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #17
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Any credible alternative to CCM will get my vote.
   
 18. H

  Hegelyakoni Member

  #18
  Jan 22, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr Slaa ndiye mtu pekee mwenye sifa zote za kuwa kiongozi wa nchi,lazima tumwombe achukue fomu tena.
   
 19. a

  arnoldmoshi Member

  #19
  Jan 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We need a complete change, we need to overhaul the system completely.. i have deep respect for the Hon Magufuli ila tatizo hata ukimchagua, atawaweka watendaji gani kwenye serikali kama wote CCM asilimia kama 70% ni akina Tambwe hizza. Manaake hata mataani jamaaa wengi hawako objective kazi kutetea chama UCCM. we need a change!!!, complete change... wakae nje for a while wajue watu wako serious. ili mtu akiingia ajue akifanya ushenzi ni nje!!! au ashitakiwe kwa madudu aliyoyafanya na akifanya vizuri asifiwe. :A S-fire1:
   
 20. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #20
  Jan 22, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Wewe basi, tumekupoteza. Kura kwa mtu yeyote kwa CCM ni sawa na kusaini kwenye fomu ya kuchangisha fedha za kumtibisha MAITI!!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...