Watch Big Shaq’s ‘Man’s Not Hot’ video featuring DJ Khaled, Lil Yachty and more
image: http://ksassets.timeincuk.net/wp/uploads/sites/55/2017/10/DJ-Khaled-Big-Shaq-920x584.png
[http://ksassets]
Malkia wa bongo movie Elizabeth Lulu Michael atatakiwa kupanda mahakamani tena Oktoba 19 mwaka huu kwa ajili ya kusikiliza tena kesi ya mauaji inayomkabili. Lulu ambae anakabiliwa na kesi ya mauji ya bila kukusudia ya msanii mwenzie Steven Kanumba yaliyotokea mwaka 2012, April 7.
Nyota huyo wa...
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya watu,Mbwa ameongea.
na Sabina Chrispine Nabigambo
Nchi ya Nigeria inaadhimisha miaka ya 57 ya uhuru wake,tangu kumalizika kwa utawala wa kikoloni mwaka 1960
Akihutubia taifa hilo hapo Jana Rais Mohammadu Buhari amewataka wanijeria kukumbuka safari ndefu waliyopita hadi kufikia utawala wa kidemokrasia mwaka 2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.