Maajabu ya mbwa kuongea kama binadamu

Maajabu ya mbwa kuongea kama binadamu

Arnoldius

Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
25
Reaction score
4
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya watu,Mbwa ameongea.
 
Haha I just watched this America got talents and really got inspired. Kama nchini tungekuwa na maandalizi ya kutosha na seriousness katika kutafuta vipaji hakika tungefika mbali sana katika tasnia ya mziki na movie
 
Toka umezaliwa naamini ujawahi na wala hutegemei kusikia au kuona mnyama tofauti na binadamu ama kasuku akitumia ulimi kuongea,kumbe hata MBWA anaebweka,!mnyama huyu kashuhudiwa na maelfu ya watu,Mbwa ameongea.

duuuh
 
Anayeongea ni mwenye mbwa, na siyo mbwa. Wajinga ndiyo waliwao.
 
mkuu km una angaliaga america got talent hii mambo uto shangaa nishaon mbwa anaruka kamba, anacheza mziki hadi kuku anapiga kinanda vizuri tu kule kuna telents sn km ya mwaka huu kuna kitoto kilishinda anaitwa DARCI LYNNE huyu alikuwa anaimba bila kufungua mdomo halafu anaimba sauti zaidi ya tatu
 
Ngoja niitafute hiyo show nithibitishe
 
mkuu km una angaliaga america got talent hii mambo uto shangaa nishaon mbwa anaruka kamba, anacheza mziki hadi kuku anapiga kinanda vizuri tu kule kuna telents sn km ya mwaka huu kuna kitoto kilishinda anaitwa DARCI LYNNE huyu alikuwa anaimba bila kufungua mdomo halafu anaimba sauti zaidi ya tatu
Mnaonaa,
when Bongo got talent ita happen..na ss tuoneshe vipaji vetu.

Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom