Recent content by Arnold Amos

  1. Arnold Amos

    Naogopa kupima UKIMWI kwa sababu ya msururu wa niliowachakata

    Pole kwa changamoto. Iko hivi. 1. Kama wanatumia dawa kwa usahihi hawawezi kukuambukiza. 2. Huambukizwi UKIMWI unaambukizwa VVU. UKIMWI haumbukizwi ila unaambukizwa VVU. Sasa mtu akiwa na VVU na asitumie dawa ndo anaenda kwenye stage ya kupungua Kinga Mwilini ambayo ndo UKIMWI. Mtu akifika...
  2. Arnold Amos

    Nimeamua kumuacha huyu mwanaume kwasababu anafanya mapenzi mara 9 kwa usiku mmoja

    Is this thread for asking for advice? Advertiding ur so called kitumbua? Bragging? #I_don't_get_it.
  3. Arnold Amos

    Hivi nani kaliazisha hili la watumishi kuombea vitu na watu kuondoka navyo kwamba vina upako?

    Daaah. Siku hizi mambo yanabadilika sana. Inabidi utumie akili katika kila kitu. Usikubali kupelekeshws kiimani tu.
  4. Arnold Amos

    Polisi akipokea rushwa live

    Unatakiwa uwe mjanja, trafic akiomba leseni yako chini yake unaweka elfu kumi then unamkabidhi then kesi yako inakuwa imeisha.
  5. Arnold Amos

    Polisi akipokea rushwa live

    Hahahaha India kuna msemo unasema selfies zinauwa watu wengi kwa mwaka kuliko hata cancer. Unakuta mtu anapanda juu ya ghorofa refu kabisa halafu anajininginiza kisha anajipiga selfie ili iende viral au watu wamuulizr ulipigaje hiyo picha. Mwingine anasimama karibu na mnyama mkali then...
  6. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Poa. Tufanye mi nalia. What's next?
  7. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Matusi ya nini sasa? Kweli ukikosa cha kuongea ndo unaona umtukane mtu ili apatwe na hasira. Daah.
  8. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    If akili yangu ni ndogo. Actually u re the one wasting ur own time cause u keep coming for me.
  9. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Aachane na mimi kwani nina ndoa naye huyu? Aacahane na mimi kwani mi ndo nilimfata kwenye comment zake. Hebu mjishtukie basi. Mna ujinga umewajaa hadi unavuja.
  10. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ignorance is a world phenomenon ila wabongo tunaweza kuwa tunaongoza, wabongo wanapenda bisahana ushindani wa kushinda na kwa kutumia hisia na siyo kwa hoja. Am Tanzanian tena nimezaliwa Muhimbili kabisa, sina haja ya kuku convince wewe uamini au usiamini, I could care less, mngekuwa Migration...
  11. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nigga usinipande kichwani. U say am too young. Maybe I am. Show me ni kitu gani umeona kinachokufanya useme am too youmg for this thread, cauae it seems to me that u re trying to dismiss everything I said with just a blunt statement such as am too young for this thread. Sema hoja yako ya kusema...
  12. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kindly provide a link from those International rankings and then we can proceed further.
  13. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nigga u dont need to stay in Nairobi for thirty years to see their success. Mh point was watu wanabisha bila reference, mwingine aniongelea Nairobi as if ashwahi ku as much as kwenda ila ni kuona tu kwenye Tv na mitandao, mwingine anaongela Dar as if ameshafika while anaiona tu kwenye mitandao...
  14. Arnold Amos

    Wana JF Naombeni mpitie hapa kwa msaada zaidi

    Mungu awatangulie. Cha muhimu pata sehemu ya QT ambayo iko registeted na inatumbulika. Ikibdi uliza kabisa watu wa kwenye hiyo center ukienda for consultation.
  15. Arnold Amos

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Thats not the point here, the disussion is between Dar and Nairobi, niwe Mtanzani, niwe Mkenya au Mmarekani that is irrelevant ti this topic. Sio kisa Mtanzania basi niseme vitu vya kui favir Tz, hakuna award utapata ukimaliza ku ague hapa na huu si ushindani wa kupata kitu. #Learn_yourself.
Back
Top Bottom