kwa sirikali hii ya kubana matumiz na kupunguza ajira kwa watumish wa umma, lets just say ina madhara makubwa kwa mpokeaji kuliko mtoaji..hivi hii video ina madhara gani kwa wote wawili..mtoaji na mpokeaji?
Katika pita pita nimekutana na hii video ikimuonyesha askari Polisi kijana kabisa akipokea rushwa kutoka kwa dereva wa gari ndogo. Pamoja na hali ilivyosasa lakini mambo bado hayajabadilika. Namshauri Mh. Magu aondoe mifuko kwenye sare zao labda kidogo tutapunguza hili tatizo.