Mnadhimu maana yake inaendana na neno nidhamu,kwa kawaida, ni mtu anayehusika na kushughulikia maadili katika sekta flani na kuweka kiwango katika majukumu mbalimbali(set standards, like how should army major behave? ,what are his responsibilities ? ,what disciplinary measures should be taken...