msaada bei za tablet za kawaida

oxlade

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
601
93
nisaidieni jamani nitapata tablet kwa bei gani?? hizi zenye 8gb zinaendaje....nataka ya bei nafuu
 
bei ya kawaida ina vary na quality ya kitu mfano samsung galaxy note with unique features kama processor quad core,s pen,os ice cream sandwich inauzwa 1.2 hadi 1.4mil kwangu ni ya kawaida manake ningetegemea iwe xpensive zaidi ya hapo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom