Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

..............................''nina doubt hapa kidogo sista..mimi ni mwanaume..na labda niseme inategemea sana na aina ya mtu mwenyewe...''....siku-generalise mkuu.refer post yangu ya msingi.
Sijakuelewa
 
wanawake hawa......??? aiseeee
sifa ya mwanamke ni haiba,uoga,upole na huruma....mwanamk hatakiwi kuwa jasiri,mkakamavu

jamani YO YO mbona unashangaa sana, na sisi tuna hisia kama nyie unajikuta tu umempenda mtu, bila sababu yoyote ile,

sasa tukiwaambia ndo mnatuona vicheche
 
Pole sana kwa iyo taabu uliyo nayo.
Kwani wewe kwa kujitathimini unajionaje make isije kua hauna mvuto alafu kaka wa watu ni handsome ukadhani utampata kirahisi.Kama mvuto wako ni wa kawaida itabidi ufanye kazi nzito sana na chunguza kama yeye ana mke tayari au bado.
Jambo lingine una muhitaji kuish naye au just kutembea naye tu kisha kila mtu na maisha yake.Maswali ni mengi ila siku zote penye nia njia ipo tu hata kama mwisho wa siku inaweza kukugharimu.try your best mdada.

Kazi kwelikweli
 
Yaani najaribu kuangalia comments za wanawake humu, ndio napata picha kwa nini wanaume wataendelea kumemena wanawake without any resistance...endeleeni kumwaga mawazo yenu ingawa kwa asilimia kubwa mengi si mageni kwangu coz I have been there several times na bado naendelea kupata hizo challenges zenu.

watu8 hupendi kupendwa jamani, au huwa unajisikiaje mdada akikupenda
 
usidhubutu kumwambia wala kumwonyesha kuwa unampenda coz utajuta!!

kuwa naye karibu na stor tu za kawaida coz hata yeye pia anaweza akawa anatafuta nafasi kwako!!

jariku kujitahd mpande gar 1 wakat wa kuingia na kutoka officen

toka naye lunch na dinar pia kama inawezekana, mtumie msg za kumsalimia na kumtakia ucku mwema!!

muulize ratiba zake za week end, kama atakuwa na akili kama yangu bhas dhahir atakuwa ameshakuelewa
 
mi huwa cjali nakupa live!hutaki unaacha!kwan sio kila unaempenda na yy atakupenda,so nakubali matokeo fresh
 
uwe unamwangalia deeply usoni bila kucheka wala kutabasam macho huzungumza lazima atajiuliza kwa nini unamwangalia hivyo atataka kujua ni kwanini na somo lakolitaanzia hapo.hii siipendi lakini mkipata muda wa kutazamana jifanye kama umekasahau kapaja kakokanono bahati mbaya akikiona jidai una aibuuuuuuuuuuuuu.
 
pole sana mamii! kama una nia naye njema na si vinginevyo, sali muombe Mungu wako akufanyie wepesimaana hiyo sasa iko nje ya uwezo wako..kila la kheri inshaallah!
hata kumchunia siwezi nikimuona tu najikuta natabasamu, tupo ofisi moja tumetenganishwa na cubes tu, ila alipokaa yeye ni lazima umuone ukiwa unatoka ama kuingia ofisini , nampenda kweli huyu mkaka, tatizo ni huo woga wa kumfikishia ujumbe, maskini mie
 
U don't need to complicate.....
Muite pembeni, mtizame machoni mwambie unampenda, tena be confident(sio ukakamae sasa)
using'ate kucha mbele ake, utang'ata badae ukiwa mwenyewe....!!!
Wachache sana wanaokataaga teh! omba asiwe mmoja wapo make hizo aibu sijui utaziweka wapi

Inategemea kama mzuri sasa... mi niitwe na lidada libayalibaya liniambie linanipenda, naweza kulichapa makofi hapo hapo...
 
nijuavyo mimi ss wanaume hata kama humpendi mtoto wa kike ni vigumu kuwaambia wengi huwa tunawaacha kama loose ball siku mamie wa ukweli amenizingua nakuja kwako kupunguzia machungu,kuwa muangalifu!
 
Nauna unajitafutia kifo cha pole pole
hakuna mateso duniani kama mwanamke kumpenda mwanaume asiekupenda,hapo ili umpate inabidi ujigonge kwake yes ataingia laini lakini akishakulamba hiyo k utaishi kwa shida maisha yako yote kwenye hayo mahusiano
wacha kabisa
acha asili ichukue mkondo wake usimtongoze mwanaume kamwe? Kwani umekosa nini? Mihemko tu ya muda hiyo..ooooh moyo mdanganyifu???????

i hope u didn't take it personal??
 
Back
Top Bottom