Recent content by arigold

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Rais Magufuli aliwashtukia Wachina kutaka kuichukua na kuimiliki TANESCO

    Kuna kampuni za kichina nyingi za umeme zimepeleka maombi TANESCO ili tupewe mikopo ya pesa wao wajenge kwa mtindo wa EPC kama ilivyokuwa bandari Lakini wamekwamba kwa sababu masharti ya hiyo mikopo ya benki ya EXIM ndio iliyosababisha bandari kama vile ya kule rilanka kuchukuliwa na Wachina...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Uungwana: Barua ya kujiuzulu uwaziri ya Ally Hassan Mwinyi, January 22/1977

    mwigilu anashindwa vipi hili jambo?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA ni nani?

    hawana na hawajui cha kufanya
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

    asset audit waliyoambiwa wafanye na rais report yake imeishia wapi?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni Rais aliyetumia miaka minne nje ya nchi. Serikali yake ilikuwa na pesa ya kulipa kila mtu

    JK alijua wazi kuwa membe ni un electable, kakaa serikalini for 10 years bas yeye option yake ilikuwa membe tuu? alishindwa vipi kuwa na PLAN B, C,D, E, and F? Mkapa alishajua weakness yake ya Anyone but Edward, the rest is history
  6. A

    JamiiForums Tanzania WWF waponda na kupinga mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Environmental imperialism The same applies na wale wanaopinga project ya Barabara Serengeti. As a matter of fact waliweza kuwarubini (?) au kuwapa pesa owners wa Jamiiforums kiasi threads za kupinga project ya Serengeti zikaweka sticky na kupewa vipaombele humu jamii forums. Mind you, this...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Mimi bila website na enough info vigumu ku make decision Nitasubiri
  8. A

    JamiiForums Tanzania Miliki nyumba mpya kwa mil 32 tu

    Website yenu haipo Vigumu kwangu kufanya maamuzi kwa maneno pekee na mimi Sipo bongo
  9. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Legends of ALL Time

    Dr bWho
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Musa alikuwa Myahudi au Mwarabu?

    Foreigners hao hawatuhusu
  11. A

    JamiiForums Tanzania Gharama za kusoma Canada zipoje?

    Visa za visiting zinatoka? Kujilipua vipi?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitaki ku-address hizi Conspiracy kuhusu BAKWATA?

    Bakwaaata
Back
Top Bottom