Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

Mange Kimambi kuangusha uongozi wa BAKWATA?

BAVICHA ninawashangaa kitu kimoja MTU ambaye akijishirikisha na siasa za Upinzani kama Kakobe, Gwajima na Shoo ndo wanamuona was maana Lakini Kiongozi yeyote anayeonekana anashirikiana na serikali anakuwa Adui yao. Nawashauri muheshimu Mawazo ya MTU na Uhuru wa MTU wa Kutoa maoni siasa za Chuki haziwezi kutufikisha kokote wala kutuongezea idadi ya Wapiga kura katika vyama vyetu

BAVICHA inaingiaje hapa wewe? Tubuni Ufalme wa Mungu umekaribia.
 
Ukimchukia sana Mange mwisho wa siku utampenda tu. Mange ana uchizi wake ila ameibua mengi ambayo yana maana!

Achana na kile kichwa sasa hivi ndio Dada wa Taifa Wema aliitwa dada wa Taifa kakorofishana n Mange ona sasa akaunti yake imekua Hacked [emoji23][emoji23][emoji23] na Mange anasubiri kutibuliwa nyongo na wema ili amuanike uchi wa mnyama.
 
Ninashangaa Watanzania Wanapoteza Muda wao Mwingi kumfuatilia Huyo Malaya Mange Kimambi, Binti aliyekosa Maadili tangu Utotoni. Hata Sheikh namshauri asimjibu chochote Hugo Malaya
Kwa sasa mkuu usitegemee tena kumsikia sheikh kwenye press yoyote akimjibu au kumuongelea mange.yanayoendelea kwake tangu ile Jana mpaka Leo ni majuto tu. He has totally ruined his reputation at all
 
Achana na kile kichwa sasa hivi ndio Dada wa Taifa Wema aliitwa dada wa Taifa kakorofishana n Mange ona sasa akaunti yake imekua Hacked [emoji23][emoji23][emoji23] na Mange anasubiri kutibuliwa nyongo na wema ili amuanike uchi wa mnyama.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom